Mradi wa kitega uchumi cha mwalimu nyerere umeishia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mradi wa kitega uchumi cha mwalimu nyerere umeishia wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Hekima Ufunuo, Feb 3, 2011.

 1. H

  Hekima Ufunuo JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 220
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Juzi nimepita mahali ambapo kitega uchumi cha mwalimu Nyerere Foundation kilikuwa kijengwe nikaona majani tu, hata ule uzio uliokuwepo umeondolewa.

  Wadau nauliza, ni kitu gani kimetokea kwenye huu mradi mkubwa ambao hata mimi nilichangia kwa kununua bahati nasibu ya Ndugu yangu M. Sabodo?

  Viongozi hawa wa CCM ndiyo wanatuimbia kila siku wanamuenzi Mwalimu, Je Mbona wanataka kuiua Foundation yake?

  Please help me.

  Respect
   
 2. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 3,999
  Trophy Points: 280
  fitna za watawala hawa jamaa walinyimwa building permit wasijenge karibu na Ikulu sasa cha ajabu wakapewa open space ili tu ku-discredit institution! halafu cha ajabu ile plot waliyonyimwa atakuja pewa kibopa soon!
   
 3. T

  Topical JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Serikali haina fedha za kuendeleza ubaguzi ok
   
Loading...