Mradi wa kilimo cha mbogamboga kwa umwagiliaji wa matone – Zanzibar

Developer

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
446
503
DRAFT 1

MATUMIZI

Gharama zisizojirudia kila msimu

1.Shamba: Kukodi laki moja kwa ekari moja. Hapa litakodiwa hekari mbili.
2.Kisima: Gharama ya kuchimbiwa ni milioni mbili.
3.Unatakiwa kuwa na sola, umeme au jenereta. Cost will vary depend on the chosen alternative.
4.Pump (Horse Power 2) moja shilingi laki nne. Kama una uwezo nunua mbili moja itumike moja ipumzike zi alternate.
5. Unatakiwa kununua drip ring. Moja inauzwa 160,000/=. Zitahitajika kwa makadirio 8 kwa hekari 2 – 1,300,000/=.
6. Mpira 1” urefu mita 150 – 130000/=
Mpira 1.5” urefu mita 150 – 420000/=
7. Vichwa vya drip 1200 sh kila kimoja. Utanunua kulingana na idadi ya matuta uliyonayo.
Kwa kukadiria sh 200000/=
8. Kamba za kufungia nyanya sh 37000 kwa ringi moja. Utanunua ringi 3. Laki moja kwa kukadiria

SUMMARY
1. Kukodi - 200,000/=
2. Kisima - 2,000,000/=
3. Jenereta – 1,500,000/=
4. Pump 2 – 800,000/=
5. Drip ring 8 – 1,300,000/=
6. Mipira – 550,000/=
7. Vichwa vya drip – 200,000/=
8. Kamba za kufungia – 100,000/=
JUMLA NDOGO 1 – 6,650,000/=

Gharama zinazojirudia kila msimu

1.Mbegu za nyanya sh 25000 kwa pack, pack moja ina mbegu 2500.
Zitahitajika packt 4 kwa sh 100,000/=
Biringanya mbegu ni sh 20000 kwa pack. Zitahitajika pack 3 sh 60000/=
2.Dawa kwa makadiriao sh 300000/=.
3.Bomba la kupigia dawa sh 45000 yanahitajika 2 sh 90,000/=
4.Samadi mifuko 200 sh 500,000/=. Sh. 2500 kwa mfuko.
5. Mbolea ya kemkali sh 500000/= kwa makadirio.
6. Umeme sh 50000 kwa mwezi, miezi 6 – 300,000/=
Petrol sh 150000 kwa mwezi , miezi 6 sh – 900,000/=
Diesel sh. 100000 kwa mwezi, miezi 6 sh – 600,000/=
Solar kama ulikava gharama za manunuzi then ni zero cost on operational.
7.Kuandaa shamba trekta laki moja kwa heka mbili.
8. Matuta laki 4 kwa heka 2
9.Miti ya nyanya – milioni moja.
10.Kupalilia – 300,000/=

SUMMARY
1.Mbegu-160,000/=
2.Dawa-300,000/=
3.Bomba za kupigia dawa – 90,000/=
4.Mbolea – 1000,000/=
5. Mafuta – 600,000/=
6. Kulima shamba – 200,000/=
7.Matuta – 400,000/=
8. Miti ya Nyanya – 1000,000/=
9.Kupalilia – 300,000/=
10. Mhudumia shamba miezi 8 – 800,000/=
JUMLA NDOGO 2 : 4,850,000/=

JUMLA KUU MATUMIZI: 11,500,000/=

MAPATO

Biringanya unaweza kuvuna mifuko 45 kwa siku moja. Mfuko mmoja utauza sh 20000/=. Utapata laki 9. Dalali atachukua 1000 kwa mfuko na usafiri mpaka sokoni sh 1000. Ukuza utapata sh 900000/= kwa mvuno mmoja ukitoa dalali na usafiri unabakiwa na 810,000/=

Kila baada ya siku nne utavuna kwa miezi minne mfululizo(Tumekeep at lowest lakini unaweza kuvuna miezi mitano mpaka sita kutegemeana na matunzo). Kwa hiyo uta vuna mara 30.

810,000/= mara 30 = 24,300,000/=

Nyanya unaweza kuvuna box 400 in total na kila box kwa wastani ukauza sh 50,000/=.
50000 mara 400 = 20,000,000/=

Jumla ni sh 44,300,000/=.

Tuseme utaloose 20% of total income due to various factors:

80% mara 44,300,000/= = 35,440,000/=

Faida = Mapato – Matumizi

Faida = 35,440,000 – 11,500,000/=

Faida = 23,940,000/=

NB: Ninataka kufanya huu mradi ulimaji wenye tija. Hizi data nimewatembelea wakulima vijana wanaopractise kabisa. Kwa wenyeji wa Zanzibar hawa jamaa wako Mkwajuni skulI ya msingi Kibuyuni. They are doing a tremendous job. Kama uko Zanzibar unaweza kuwatembelea.

Wadau mnaofanya hichi kilimo naomba tusaidieane tui fine tune hii iewze kukidhi haja za watu wanaotaka kufanya vegetable farming.

Changamoto kubwa kwenye kilimo ni bei masokoni. Flactuation. Kwa mfano jamaa wameniambia msimu ulioita waliuza nyanya zaidi ya 115000 kwa box lakini sasa box hilo hilo ni 8000.

This applies to almost all agricultural products.

Lakini wahenga walisema, Kama mnataka mali, mtayapata shambani.

Nawakaribisha tuweze kutengeneza draft 2
 
Big mind mkuu. WatKaokuon motiveshen spika ni wao! Hizi calculative summary ziko klia hata mm nmezielwa
 
Kilimo cha kwenye karatasi kitamu mkuu....ila asikuambie MTU kilimo kigumu...
 
2.Kisima: Gharama ya kuchimbiwa ni milioni mbili.

Hii labda ni gharama za Kigamboni ambapo maji yapo karibu...

Kuna maeneo watu wanachimba kisima hadi kwa 7mil au zaidi ili kuyafikia maji chini huko...
 
Nawakaribis
tehe tehe tehe! wacha nicheke watu waliyakimbia mafuso waliyoyakodi kubeba nyanya kuleta sokoni ,maana akipiga hesabu ya bei iliyopo sokoni hata kulipa fuso haitoshi ,bei hazitabiriki we rahisisha tu,walima nyanya ni wengi sana,sasa we panga faida kwenye makaratasi halafu uje uone,raha ya nyanya uiote utafurahi,kabla ya kulima nyanya lazima uyajue masoko kikamilifu na misimu ya wakulima kuileta kwa wingi sokoni
 
Una good idea but kama hujawahi kufanya kilimo before sikushauri uanze na mtaji mkubwa kiasi hicho, kinachotakiwa uanze na kidogo na mwisho wasiku upande polepole hadi kufikia mtaji huo. Kuwekeza mtaji mkubwa kwenye stream moja ya fedha ni hatari sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom