TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,075
We can not dare to "misuse" the brain of this man!!! Wahusika jipangeni, vinginevyo muwajibishwe.Huyu Chamuriho ndiyo alikuwa Waziri Wizara ya Ujenzi, Karemani alikuwa Waziri Nishati, Kareman ilikuwa kila mwezi lazima aende Hapo site.
Chamuriho ndiyo mtaalamu wa majadiliano alieshiriki katika miradi yote kuongozo timu ya majadiriano kwenye mapatano kati yetu na wakandarasi, mradi Nyerere Hydroelectric Power aliongoza timu ya majadiliano, mradi wa SGR yeye ndiyo aliongoza majadiliano, mradi wa ununuzi wa Ndege ndiye aliengoza timu ya majadiliano ata kule Bagamoyo ni yeye na timu yake ndio waliona mradi ule unawabana sana Watanzania, ikukbukwe Dr. Leonard Chamuriho ni Engineer sasa ukija kusikia mradi wa Bagamoyo unapigiwa kelele huko mbele ujue timu ya majadiliano ilikuwa ya wanasiasa. View attachment 2012553
Sent using Jamii Forums mobile app