Mradi wa gas, kuanza November 2011...?

Tai Ngwilizi

JF-Expert Member
Apr 20, 2010
781
210
hii ipo kwenye face book status update ya Mheshimiwa Rais (nimeikopi na kuipaste):

The government will invest over 1.6trn/- in a gas pipeline and processing plants in Mtwara and Lindi regions to Dar es Salaam whereby over 530km pipeline from Mnazi Bay to Dar es Salaam via Kilwa will be constructed starting November 2011.The total costs for this project will be $1bn,a loan from China's Exim Bank.This with other projects will provide a long term energy security to the country which include a solution to power shortage.
 
A step in the right direction. My only fear is the Minister's ability to see this project through without any 'mawaa'.
 
A step in the right direction. My only fear is the Minister's ability to see this project through without any 'mawaa'.

Tena bora kuwe na mawaa lakini mradi ukamilike na uwe reliable!!!!!! Hi kazi moja kwa moja watapewa wachina hivyo basi serikali ifanye juu chini kutafuta consulting company kutoka nchi nyingine kama Norway ambako ufisadi si sehemu ya shughuli zao.
 
Useful intervention.
 
Wala Msije Shangaa baada ya mradi kukamilika mtaambiwa na kampuni ya Gas kuwa imeisha na hivyo kuufanya mradi kuwa hauna na tija
 
mimi sisemi kitu mpaka hapo ntakapoona mradi unafanya kazi...tatizo ni kwamba ahadi na matamko yamekuwa hayana maana tena machoni pa mtanzania wa kawaida kama mimi.
 
Tumedhubutu,tumeweza na tunasonga mbele,well done serikali yetu chini ya Rais wetu JkM
 
Mi niko maeneo hayahaya ya kusini. Kusema ukweli hakuna matatizo ya umeme. Tunaamka,kushinda,kula na kunywa hata kulala na umeme. Sisahau mwezi mmoja uliopita ilibidi nivae jeans na Tshirt kwa kukosa nguo iliyonyoshwa! Mazoea kweli yana tabu.
 
Back
Top Bottom