Mradi wa Digital Broadcasting TBC - Mmmh! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mradi wa Digital Broadcasting TBC - Mmmh!

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Superman, Nov 9, 2009.

 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  STAR WILL INVEST IN TANZANIA’S NATIONAL DIGITAL TV OPERATION PROJECT
  Date: 2009-3-22
  [​IMG]

  [​IMG]

  In March 2009, a delegation of Tanzanian National TV Station took a four-day visit in Star during which a MOU was signed signifying Star will cooperate with Tanzanian National TV Station in the construction and the operation of Tanzania’s National Digital TV Project, the second national Digital TV project following the Rwanda’s project in the Eastern African Community.

  The delegation of this visit was leaded by Mr Turuka, permanent secretary in charge of the department of News, Culture, and Sports; the delegation consists of four members including Mr. Mhando and Mr. Lyimo, president and acting general manager of the Tanzanian National TV Station. The objective of the delegation’s visit was to sign the relevant MOU and discuss the related matters regarding Star’s cooperation with Tanzanian National TV Station in terms of the construction and the operation of the National Digital TV Project.

  Situated in the eastern part of Africa, at 945,000 km2 and with a population of 40,000,000 people, the United Republic of Tanzania is one of the Eastern African Community Countries.Conform to the development tendency of digitalization in the radio-television industry and the time-table of digitalization fixed by the International Telecommunication Union Organization, Tanzanian government decided to launch and finish the digitalization and popularization of the National Digital TV Project as soon as possible.

  In December 2008, Tanzanian Broadcasting Corporation looked for cooperating partner in terms of the construction and the operation of the project through international tender, relying on her general strength and rich national and international Digital TV operation experience, Star won the tender. The board of directors of the Tanzanian National TV Station announced this result and authorized the TV Station and Star to establish a joint-venture company for the construction and the operation of the project; the delegation’s visit was to officially launch the bilateral cooperation.

  After the visit, Star sent a technical team to Tanzania for a local investigation so as to well prepare for the implementation of the project. The two sides plan to sign an official joint-venture agreement in April and launch the implementation of the project.

  Source: http://www.startimes.com.cn/en/xw_nei.asp?id=397&treeid=67
   
 2. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145


  Kama data hizo hapo juu ni sahihi, basi TBC hawajafanya makosa yoyote kuingia ubia na Wachina, unless kama kuna facts tofauti na hizo.
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Superman,
  Kosa ni kuwapa Wachina 65% ownership ya TBC na sisi kubaki na 35%. Huwezi tena kuiita hiyo Tanzania Broadcasting Corporation . Ni China Broadcasting Corporation.
  Hizo gharama za digital tungeweza kuzimudu sisi wenyewe, ila siku hizi Tanzania mindset ya viongozi wetu ni kwamba "No we can't. Only foreigners can."
   
 4. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mkuu it is still unclear and very murky as to what we mean by "International au National Digital TV Station".
  The cooperation entails what,what are the bottlenecks of the present system.
  Isiwe ikawa "Radar" nyingine!
   
 5. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mkuu;

  TBC Wameungana na Wachina kuunda kampuni ya
  Star Media (Tanzania) Ltd.

  Kampuni hii haihusiki na CONTENT kama TBC, bali inahusika na construction ya Digital Broadcasting Facilities.

  Hata hivyo nimepata dondoo mahali kuwa hawa Wachina wataleta pia channels nyingine ambazo zitakuwa na content toka nje under Star Media na sito TBC.


   
 6. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mkuu Lole Gwakisa, Mgonile Mundu Gwa Kyala!

  Tanzania inajiandaa kuingia katika mfumo wa Digital Broadcasting. Katika mfumo huu kutakuwa na makampuni ambayo kazi yake ni kusambaza signals kwa viewers. Bila shaka wengi watapewa Antena na Decoder kwa bei poa au hata kupewa upgrade electronics ili kubadili TV yako iende katika mfumo wa Digital.

  Hata hivyo makampuni ya Content au TV Stations zitakuwa ni zile zile na nyingine nyingi ziko njiani zikiwemo TV ya Jiji, Clouds TV nk.
   
 7. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  kazi ipo!
   
 8. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Lakini kulikuwa na ulazima gani wa kuwapa 65%? 45% zingewatosha.
   
 9. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Ndaga Malfyale!!!
  Ahsante kwa kunipa ufahamu wa mradi wenyewe.
  Je hii inamaanisha kuwa ujenzi wa minara pamoja na trasmitters zote zitakuwa chini ya kampuni hiyo mpya? au wao ni kusupply hivyo vifaa tu.
  Lazima tukae mkao wa kutafuta kazi.
   
 10. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #10
  Nov 9, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Doh, uwaambie wabongo watupe TV zao au wanunue converter, patakalika kweli!!
   
 11. fiksiman

  fiksiman JF-Expert Member

  #11
  Nov 9, 2009
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  watanzania kwa kuogopa kuibiwa utafikiri wanacho cha kuibiwa chenyewe...superman uko deep sana kwenye hii kitu, nafikiri elimu inahitaji sana linapokuja suala la global partnership. kwenye lengo la 8 katika ule mpango wa malengo ya maendeleo mileniam imesisitiza hili jambo la kubadilishana uzoefu kimataifa ili kurahisisha uenezaji wa teknolojia duniani. Wasomi wetu wenyewe kazi kutafuta feki...we mtu toka darasa la saba anapita kwa njia feki unafikiri kutakuwa na ubongo wa kufanya ufumbuzi zaidi ya kusubiri kuunganisha matairi ili gari iende.

  Acheni fitna bwana.
   
 12. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #12
  Nov 9, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  hatuna technology msasa mnafikiria tutakuwa na nguvu? haya sio tbc jamani ndo inauzwa, hii ilishaleta mzozo wakati fulani mpaka yule waziri wa habari mate yakamruka kwa hasira kwenye press conference kuulewesha umma. technology ni silaha muhimu sana ktk kupiga maendeleo
   
 13. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #13
  Nov 10, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mkuu shida ya viongozi wetu wengi kwenye taasisi za umma hawajakaa kijasiliamali.

  Inawezekana labda ni kutokuwa makini, au ukosefu wa mtaji (?) au teknolojia.
   
 14. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #14
  Nov 10, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145

  Hakika.

  TV Station katika zama za Digital hawataruhusiwa kuwa na Transmitters na mitambo mingine zaidi ya Studios na kutengeneza Content tu.

  Mkuu, hawa Wachina nasikia mitambo itakuwa live this December 2009. Same to Agape Associates.

  Tafuta kazi tu mkuu
   
 15. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #15
  Nov 10, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Inatakiwa Elimu ya hali ya juu. lakini kuna cut-off date ambayo ni 2015. Kama by then hutakuwa na Digital TV au Decoder ya kusaidia hiyo analogue TV uliyonayo, basi ni Kwishnei.
   
 16. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #16
  Nov 10, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Kuna some facts katika hilo.

  Kitu muhimu wakati wote ni kutanguliza maslahi ya nchi na kuepuka ufisadi.

  Shida ni kuwa, wangapi wanaweza hilo?
   
 17. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #17
  Nov 10, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Well Written!

  Katika zama hizo "INFORMATION or KNOWLEDGE is POWER?

  The question is: Do We Have? If we have, tunatumia vipi?
   
 18. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #18
  Nov 10, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Mimi sijui sana haya mambo ila niliwahi kusikia hihii kampumi ya wachina ambo wanarudi kwa wingi sana afrika pia iko Kigali na bujumbura kwa rwanda nasikia imeshaanza kazi na pamoja na kuwa ina ubia na TV ya taifa pia inarusha hizo channel nyingine za kulipia under star media lakini kwa bei nafuu hazina tofauti na DSTV hivyo uitaka kuziona hizo channel za star media lazima ulipie gharama za instalation yaani antena na decoder then unakuwa unalipia kila mwezi.
   
 19. M

  Mayolela JF-Expert Member

  #19
  Nov 27, 2009
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mie nashangaa mbona chenga ndio zinazidi kuwa nyingi- maana digital no chenga .
  Nadhani awa wachina ni feki company wametuletea huku,nasie tulivyo na akili ya kupenda kukimbia bila kutambaa basi tukaona ndio pepo yenyewe.- mchina ??????????

  mdau Zhou.
   
 20. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #20
  Dec 24, 2009
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  naomba kujuzwa kidogo hivi ikishakuwa digital inamaana atutatumia tena antena za kawaida watasaplay decoder au sijaelewa jamani
   
Loading...