Mradi wa Depot ya Maji. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mradi wa Depot ya Maji.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Miradi, Apr 9, 2012.

 1. M

  Miradi Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wadau,

  Ni mkoa gani ama wilaya gani mpya zilizoansihwa ambapo unavivutio vya watalii kwa wingi? Nataka kwenda kufungua depot ya maji aina zote. Mwenye ushauri plz!
   
Loading...