Mradi wa Bwawa la Nyerere tulijilisha upepo au ndiyo mwendelezo wa siasa chafu za kibepari?

Mkuu kwa sasa imeeditiwa, wakati tunapiga kelele watu waligeuza gia angani wakaiedit..
Mimi niliiongelea kwenye makala moja ila kama siku mbili mbele nilivyoingia PDF nikakuta kitu kingine. Ila ilielekeza kuboresha miradi kama Bwawa la nyumba ya Mungu, Kidatu, Mtera e.t.c na kulikuwa na specific amounts za investment na megawatts to be expected..

Ila kwenye ilani ya CCM 2015 -2020 imeongelewa
Tupe hio hio iliyoeditiwa.
 
Marekani, Misri na kwingine kokote walipojenga mabwawa makubwa ya umeme uharibifu wa mazingira umekuwepo, huwezi kujenga bwawa kubwa la umeme bila kuharibu mazingira.

Kama uelewa wako ndiyo huo kuhusu uharibifu wa mazingira, basi unahitaji kusoma na kutafiti zaidi. Kulingana na tafiti, umeme wa maji ni miongoni mwa vyanzo rafiki wa mazingira. Uharibifu utatokea mwanzoni, lkn baada ya hapo hamna tena. Pia hata kuna namna nyingi za kudhibiti madhara yake. Lkn huwezi ukalinganisha na gas, oil, coal, nuclear sources. Hizi ndizo zimechangia sana kwenye global warming. Kwa sababu huku zikiendelea kuzalisha umeme, huku zinaendelea ku emit green house gases.
 
Mkulu, Nina hamu sana kujua madhara ya miradi ya HEP kwa mazingira.

Lingine ni kuwa, kama kule jangwani Misri wanatumia Aswan dam with very little effect of evaporation. What about the place where there is a double maxima
Hili ni swali zuri sana, nayasubiri majibu yake.....
 
Kama huku kwetu wenye hisa kwenye gesi ndo wapinga mradi , Mungu saidia hii nchi, wazibe macho na masikio wale wote wenye uadui na mradi huu amina.
Tuliambiwa gesi ikifika dar tstizo la umeme litaisha. Tukapigwa. Hata huko Rufiji tutapigwa tu.
 
Hili ni swali zuri sana, nayasubiri majibu yake.....

Sidhani kama atatuletea kitu chenye uzito, maana yeye uharibifu wa mazingira alioeleza ni ukataji miti.
Huku anasahau kuwa gas, mafuta, coal vikichomwa lazima vitoe joto na hewa chafu. Nuclear nayo maji yanayohotajika kupooza nuclear reactors ni mengi mno. Pia hata sehemu ya kuyaprleka nayo ni shida. Wengine wanasema yatumike to heat the cities, lkn changamoto ni kuwa hawana uhakika kama hayo maji moto ya kutoka kwenye vinu vya nuclear vya kufua umeme hayana madhara.
Lingine ikitokea aksidenti kidogo tu ya kuvuja, madhala yake ni balaa.
 
Mkuu wangu, kuna sababu za ajabu mno ambazo zimetolewa lakini ni suala la muda tu ukweli utafahamika.
 
Kama uelewa wako ndiyo huo kuhusu uharibifu wa mazingira, basi unahitaji kusoma na kutafiti zaidi. Kulingana na tafiti, umeme wa maji ni miongoni mwa vyanzo rafiki wa mazingira. Uharibifu utatokea mwanzoni, lkn baada ya hapo hamna tena. Pia hata kuna namna nyingi za kudhibiti madhara yake. Lkn huwezi ukalinganisha na gas, oil, coal, nuclear sources. Hizi ndizo zimechangia sana kwenye global warming. Kwa sababu huku zikiendelea kuzalisha umeme, huku zinaendelea ku emit green house gases.
Uharibifu wa nini utatokea mwanzoni?
 
Mkuu MALCOM LUMUMBA muda huu hata tukijadili ujinga wa Magufuli ni kupoteza muda, hata tujadili athari bado nikupoteza muda..labda for refreshment tu!

Swali langu! Huu mradi utakapokamilika na kukabidhiwa kwa Tanesco, je, watarecoop costs za investment ili wananchi wapungukiwe na mzigo wa kodi au ndio watakabidhiwa at zero cost.. wavujajasho tuendelee kumenyeka?
Umeme unapokuwa wa bei nafuu, nani anapata unafuu?
 
Umeandika mengi lakini umejichanganya sana.
Tafuta wataalamu wa haya masuala wakusaidie.
Kuna factors (moderating and mediating factors) nyingi umeziweka constant.
Umeme wa maji ni mzuri lakini si rafiki wa mazingira!
Ila wa gesi unaozalisha greenhouse gases ndio rafiki wa mazingira, au sio?
 
Mkulu, Nina hamu sana kujua madhara ya miradi ya HEP kwa mazingira.

Lingine ni kuwa, kama kule jangwani Misri wanatumia Aswan dam with very little effect of evaporation. What about the place where there is a double maxima rainfall!!?
Mkuu, Kuna Mijitu inakera sana mpaka unatamani uwafunge mawe ukawatie baharini wafie mbali maana hawana faida ipo kama mikasuku kurejearejea inachokisikia bila kujua maana yake.
Mtu anakomalia HEPP Ina madhara kwenye mazingira halafu linasema gas na nuclear reactor ndio safe, Kweli??
Ina maana Habari za chernobyl, Fukushima na kumamoto hazijui
Hebu Muulize ni wapi duniani palipojengwa HEPP pakatokea hayo madhara yanayopogiwa kelele at that scale??
Wengi wetu ni mazuzu tunaofuata upepo unapovumia
 
Hao wanaopinga huo mradi ni wapumbavu na wanatoa hoja za kipumbavu na nyepesi sana!

Huo mradi umechukua kaeneo kadogo sana ukilinganisha na maelfu kwa malaki ya eka zinazoendelea kupandwa miti kila siku hapa nchini.

Nenda kule iringa na mikoa mingine uone watu wanavyootesha miti kama hawana akili nzuri. Sasa hako kaeneo kadogo kujenga bwawa litakalo tuletea manufaa makubwa kama taifa utasemaje kana haribu mazingira?

Hao wana harakati uchwara wamejifungia ofisini kwenye viyoyozi hawajui chochote zaidi ya porojo tu
Hivi bomba la gesi lilijengwa hewani? Halikuharibu mazingira? Madhara ya gas kwa mazingira nani anaweza kuyaainisha hapa kama kweli watu wanajali mazingira au wamekaririshwa kama parrots...Dunia nzima inaondoka kwenyw fossils fuel kwasababu ya mazingira leo mtu haoni soni kusema umeme wa gas ni bora kwa mazingira kuliko maji ambayo yanaendelea kubaki pale pale na hata ukipenda huko mbeleni unaweza kuyatengeneza yakarudisha status ya awali? Hiyo elimu ya mazingira ni yao ya kufikirika au hii hii tuliyosomeshwa na wazungu huku kukiwa na maandishi ya wazi kabisa kuhusu hizo fossils fuels za gas na mafuta?

Ukichimba gas huharibu physical structure ya soil? Hubadili chemistry yake? Huondoi biodiversity ya hiyo sehemu? Kwanini iwe nongwa kuchiba bwawa la maji na isiwe kwenye kuchimba mafuta?

Humu ukiwauliza hizo environmental attributes zinazoharibiwa na umeme maji ni upi ambapo wa gas hautaharibu wanabakia kusema environmentalists wanasema; okay wanasema nini? Leteni hizo facts zao basi siyo kusema tu wanasema!
Lakini ngoja leo niwape concept wanayotaka kuitumia hao wenztu...Wanajua what it means by sustainable development model kwamba uki transform capital kwenda kwenye nyingine ni kama kuhama chumba hiki kwenda kingine kizuri zaidi bila kupoteza thamani ndicho wanachofanya wao kwa sasa. Wanatumia hizo dirty sources za energy kama gas ili ile value iwe transferred kwenye technologies ambazo ni climate smart ili hatimaye baadaye waje kutuuzia tena kwa gharama ya juu zaidi. Hii nikwakua wanajua time line ya ku exploit hizo non renewables ili kui substitute na better sources kama renewable HEP ikiwa miongoni mwa hizo; sasa sisi tukiwa na investiment kama hizo, technology zao hizo smart ambazo wanazitengenza leo nani atakuwa market yao? Itakuwa hasara kwao na hili ndilo linawafanya wanapinga kwa nguvu zote .

Kuna mengi ninayo lakini acha niweke kituo hapa leo
 
Ila wa gesi unaozalisha greenhouse gases ndio rafiki wa mazingira, au sio?
Shangaa na wewe, kuna watu hata maana ya environemntal degradation hawajui zaidi yakuambiwa panda miti upate mvua bila kujua ukipanda miti kwenye savana grass land hiyo pia ni environmental degradation; kubadili desert kuwa kama tropical climate ni uharibifu wa kupindukia kwakua deserts zina umuhimu katika mgandamizo wa hewa na kusababisha pepo ambazo ndizo chanzo cha mvua maeneo husika...Kile anachofanya Dubai kwakua wao ni wafaidika in the name of investors hawakiiti enviroenmental degadation, ila kutengeneza bwawa ambalo hata halibadili sana ecosystem inashadadiwa ni uharibifu...

Its expensive to be ignorant!
 
Marekani, Misri na kwingine kokote walipojenga mabwawa makubwa ya umeme uharibifu wa mazingira umekuwepo, huwezi kujenga bwawa kubwa la umeme bila kuharibu mazingira.
Kwanini hawayafukii kama kweli yana haribu mazingira? Maana mabwawa ukifukia ukarudisha hali kama zamani inarudi....
 
Kwa faida ya sisi sote ebu tujielimishe kuhusu energy sources hizi mbili ambazo tunazijadili na tuamue kwa uelewa kuliko kupewa maelekezo ambayo si sawa kwa taifa letu

1. Gas as a source of energy i.e electricity Natural gas environmental impact: problems and benefits.

2. Hydro power as a source of energy i.e electricitity
 
Back
Top Bottom