Mwenye info atujuze wanajf
Nahabarishwa kuwa kalipua 2bn wizara ya maji imeliwa na Mkulu Gulam
Dr Slaa alikuwa anaomba maelezo khs mradi wa maji kupeleka Shinyanga toka Lake Victoria uliogharimu Tsh 2.1 bn kuwa tendering process haikufuatwa na kuna kampuni ilipewa tender katika mazingira ya rushwa!
Nauliza tu, na wala sitii vijembe. Hivi katika Bunge letu kuna uwakilishi wa CUF? Kama wapo kwani wao huwa hawaoni umuhimu kufanya chunguzi kuhusu matukio ya ufisadi na kuwahabarisha wananchi kupitia Bungeni, au hata popote pale nje ya Bunge badala ya viongozi wao kutoa tuhuma za juu juu, na zingine zikiwz za kuwapigia debe mafisadi?
Hivi kweli Chadema wanakula njama na CCM kuidhoofisha CUF?
Baada ya haya nasema: HONGERA SANA DR SLAA, KEEP IT UP - YOU ARE A TRUE SON OF THE SOIL!
Hizo ni tuhuma au bomu? Tuhuma na bomu vinafanana? Au tuhuma zinakuwa bomu baada ya kamati kuundwa, kufanya uchunguzi na kutoa report?
Tafakari!
Nauliza tu, na wala sitii vijembe. Hivi katika Bunge letu kuna uwakilishi wa CUF? Kama wapo kwani wao huwa hawaoni umuhimu kufanya chunguzi kuhusu matukio ya ufisadi na kuwahabarisha wananchi kupitia Bungeni, au hata popote pale nje ya Bunge badala ya viongozi wao kutoa tuhuma za juu juu, na zingine zikiwz za kuwapigia debe mafisadi?
Hivi kweli Chadema wanakula njama na CCM kuidhoofisha CUF?
Baada ya haya nasema: HONGERA SANA DR SLAA, KEEP IT UP - YOU ARE A TRUE SON OF THE SOIL!
Something very wrong somewhere. Kila mradi tunaoufanya lazima element za ufisadi ziingizwe? Ukienda Tanroads, ukigusa mawizara na kila mradi tunaouona tumefanya halali kuwa hauwezi kufanikiwa mpaka rushwa iingizwe ndani. Very SAD!! Tunajiharibia wenyeweNavyfahamu mimi gharama ya mradi wa maji kutoka L. Victoria kwenda Shinyanga siyo Sh 2.1bn. awali ulikadiriwa kugharimu Sh 81bn/- na hii baadaye ikapanda hadi 150bn/-.
Hapa kuna mikono ya watu wakubwa, wamevuta kama vile hawakuwa na akli nzuri. Ni bomu litakalotikisa nchi kweli kweli na kufanya Richmond chamtoto!