chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,581
- 15,720
juzi nilikuwa kwenye kikao cha kuchangamkia fursa za la bomba la mafuta ambalo linatoka uganda kupita tanzania na mikoa yote mpaka bandari ya tanga.
ila kitu kilicho nishangaza hii project ndio sehemu kubwa bomba la mafuta linachukua kilomita 1400 na kitu mpaka na miundo ya kufika mafuta na vituo vya kufikisha mafuta.
wizara na idara za mifumo zinaeleza wakutengeneza project hii ni watu watakao toka nje kwa kila nyanja.
japo kuwa na mikataba yote kuanzia nchi na nchi,nchi na mikataba mpaka na chochote kwenye mikataba.
je sisi tupo kwa ajiri ya vibarua ndani ya project hii.
hapa naeleza kuna ukweli unaoficha kama yale ya makampuni ya madini kuwa na wageni kwa kisingizio cha project.
hii kitu wizara fulani muamgalie maana hata project hii imelenga wageni na sisi wazawa kuwa mfano wa vibarua !
hapa kwenye kikao tumebaki siasa na kupokea majibu dry ya ukali.
watu wana zamana ya serikali hata malipo hawana alafu mnataka kuchangamkia fursa na pesa zao bado.
project ilishaanza alafu watu washapata tenda mnataka kueleza kitu gani!
mikataba ya hii nikama tuwe tulishiriki !
kuna mengi