Mradi wa Bilioni 2 wasombwa na maji Mbeya!

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Hii kali. Nimeskia TBC fm jioni hii kidogo nivunjike mbavu, inakuwaje mradi wa 2 Billions kusombwa na maji...ina maana hawakuangalia swala la uimara wa msingi na eneo wanalojenga kuwa ni bondeni? how come? 2 B??? COME OOOOON!!!. Mlioko Mbeya tupeni dodoso.

Source: TBC fm jioni hii
 
Na bado ukienda site utakuta kuna bango kubwa linaloonyesha Consultant...hapo sijasema amelipwa kiasi gani kwa kutoa ushauri wa kitaalam.
 
Kuna muda huwa nafikiria kuna haja ya kunyonga watu hadharani ili adabu irudi
 
Kuna muda huwa nafikiria kuna haja ya kunyonga watu hadharani ili adabu irudi
Utasikia wanyongaji hakuna, mara utasikia oooh Tanzania haiwezi kunyonga nchi ya utulivu Na mshikamano, kule utasikia Magu mlokole hawezi idhinisha MTU kunyongwa hadi kufa,
 
Back
Top Bottom