Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,632
- 20,974
Hapa namaanisha ujenzi wa bandari ambao mkataba wake ungekuwa mfupi na mapato yake yakawa na mgawanyo wa 50/50 kati ya wajenzi wa bandari na Taifa la Tanzania, vs mradi wa SGR
Kwa binafsi yangu miradi yote hii miwili ni ya muhimu sana endapo tu kama itakuwa na mikataba mizuri iliyo ya wazi itakayojadiliwa kitaifa,sioni ubaya wowote taifa kuwa hata na bandari 10 kwani zipo nchi ambazo chumi zao hutegemea bandari na uvuvi duniani, hivyo kwa uoni wangu hafifu binafsi ningelipendekeza ujenzi wa reli hii by any means kikomo chake kikafikia nchini DRC.