Mr zero!

Pilitoni

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
1,190
497
Bajeti ya elimu imepitishwa,sijaona makeke ya mr zero bungeni licha ya kuweweseka sana kabla ya bunge au ni aibu
 
Nimeweka CV ya Mbowe hapa Mods wameiondoa, huyo Mbowe kwenye elimu hana cha kuchangia.
 
Nimeweka CV ya Mbowe hapa Mods wameiondoa, huyo Mbowe kwenye elimu hana cha kuchangia.

Weka na ya Prof Maji marefu,Juma Nkamia,Mwigulu,Komba maana nao pia hawakuchangia!Husisahau kuweka na bibie Vick Kamata!
 
Back
Top Bottom