King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,670
- 68,631
Uzuri ni kwamba wajinga hawaishi,Mkuu Tariq endelea kuwabamiza MABUMUNDA.Shikamooni wakubwa zangu hapa JF
Moja kwa moja twende kwenye bandiko letu.
Baada ya kesi kuisha karibia Bilion 7 kuchukuliwa na Serkali muda si Muda naona kijana mwenzetu anaendelea na biashara yake Kama kawaida.
View attachment 1684121
Wale wawekezaji pia wanaendelea kufanya uwekezaji kama kawaida bila shaka amepata funzo.
Hii biashara ya ufugaji nakukusanya pesa za watu ili uwafugie sidhani kama litaisha salama.
Ufugaji ni risk sana kufumba nakufumbua unaweza ukapoteza kuku banda zima.