MR.Tanzania baada ya kulewa chakari

Wapoti

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
2,824
1,095
Baada ya kupombeka ameamua kutembea kama miss huku akipigwa picha
 

Attachments

  • 1409741766027.jpg
    1409741766027.jpg
    19.2 KB · Views: 1,034
Pombe ikikolea kwanza hafagiliwi mtu...
Hata ukiwa kama fidodido utajiona bonge la mtu...

Pombe pombe ikikolea inakua noma...
Pombe pombe ikikolea inakua sooo...
 
Hahhaha......shemejiiiiiiiiiii......mekumiss sana wewe.
Nipo jimama lao, nimetulia tuli.
Ila huo mzigo hatareeeeeee, afu umekunjwa kuelekea chini

Ha ha ha Shemeeeji.. Hicho kitu lazima binti atoke mita na kuacha pichu ndani..
 
Pombe ikikolea kwanza hafagiliwi mtu...
Hata ukiwa kama fidodido utajiona bonge la mtu...

Pombe pombe ikikolea inakua noma...
Pombe pombe ikikolea inakua sooo...
hahaha Suma G alikuwa noma,tatizo vipaji vya bongo vinazimika mapema
 
Back
Top Bottom