Mr sugu ni nani?

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Ndugu wana jf tumepata jembe tena jembe litakalo lima hata kiangazi,ukitaka kumjuwa sugu ni nani sikiliza ile nyimbo yake ya antivirus,sugu anakuambia moto ni uleule yeye anauhuru wa kusema na atasema,pia anakuambia maisha ni mchakamchaka kwani ktk maisha kamanda sugu hana uoga,bila kuchoka kwani maisha ni kama soka kusongana,yupo tayari kuonyesha maajabu ktk bunge lijalo
anakuja sugu na falsafa za obama,anahitaji mabadiliko na wanambeya mcjari mmepata jembe mpeni ushirikiano mr suguuuuu

sugu chadema ni tumaini jipya fanya mambo maneno ni yes hakuna no kwa wanambeya

mapinduziiiiiiiiiiiiiii daimaaaaaaaaaaaaa
 
Nilijua unataka kutupa wasifu wake

Nikimaanisha CV na experience zake za maisha.
 
Back
Top Bottom