Mihogo ya coco kwa kachumbar.Nyama zetu za ulimi..//
Zikikutana asali..
Bonyea chini..//
Chagama kama tayari..
Leo tule nn..//
mkate kwa kachumbari..
si unanijuaga mimi..//
Kitandani huwa hodari..
Waaambiee mimi BEBERU Si jogoo la pasaka.
Kama umeniroga..//(aaahhhh)Mihogo ya coco kwa kachumbar.
Shika kifuani beibee nipate supuKama umeniroga..//(aaahhhh)
Mganga wako fundi mamaa..//
ameniweza..
Nilichomeza meza me sijatema..//
Kesho twende nyumbani kwa mamaee..// (Aaeee..Aaeee)Shika kifuani beibee nipate supu
Ya nyama laini kama mapupu
Yale ya gizani bebi nje tusiyaruhusu
Kwa majirani wambea wakina lufufu
Sent using Jamii Forums mobile app
sema kwelimbosso huyu ukimsikiliza ukiwa baa unaweza tafuna bia kreti tisa aisee....... yani zinashuka tu kama parachuti
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ihere unaweza tiririka kwa voice hii kitu.Yani mashamu shamu mtoto kanikabiri oooh
Hadi na come come saa kumi na mbili alfajiri
Na nshavesha nyota cheo chake kikubwa cha mapenzi
Kanijaza kanichota kanishika pabaya
Nakutadharisha simu za usiku punguza
Unahatarisha penzi langu moto punguza
Nshakusahau nakumbuka tu lako jina
Kidogo angalau
Umeng'oa mzizi sio kukata shina
Penzi wakapandau dau aah
Mjini baba pesa fitina
Mimi ukanidharau
Visenti haba mfuko umechina
Sent using Jamii Forums mobile app