Mr. Romantic

Shika kifuani beibee nipate supu
Ya nyama laini kama mapupu
Yale ya gizani bebi nje tusiyaruhusu
Kwa majirani wambea wakina lufufu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho twende nyumbani kwa mamaee..// (Aaeee..Aaeee)
Sio mbali twende ata baadae..//
(Aaaeeeh..aaaeeeh..)
Bebi tafadhari ujiandae..//
(Aaae..aaeeeh)
Vaa baibui kimini usivae..//
(Aaeeh..aaeeeh.)
 
mbosso huyu ukimsikiliza ukiwa baa unaweza tafuna bia kreti tisa aisee....... yani zinashuka tu kama parachuti


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yani mashamu shamu mtoto kanikabiri oooh
Hadi na come come saa kumi na mbili alfajiri
Na nshavesha nyota cheo chake kikubwa cha mapenzi
Kanijaza kanichota kanishika pabaya

Nakutadharisha simu za usiku punguza
Unahatarisha penzi langu moto punguza

Nshakusahau nakumbuka tu lako jina
Kidogo angalau
Umeng'oa mzizi sio kukata shina
Penzi wakapandau dau aah
Mjini baba pesa fitina
Mimi ukanidharau
Visenti haba mfuko umechina


Sent using Jamii Forums mobile app
Ihere unaweza tiririka kwa voice hii kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom