Nikumbushe hebu superstar!Haha unajua bado nakumbuka...siku ile nilivyokujibu hadi ukaanza kuniita superstar
Superstar wewe superstar wangu sasa huo ukaka unaniumiza rohoNisamehe dadangu... Le superstar ni kakangu kipenzi
Nyooooo!!Alivyokuwa ananipa unanipa? Si inawezekana eeh?
Ongea taratibu superstar wanguu!Superstar wewe superstar wangu sasa huo ukaka unaniumiza roho
Nitumie kwanza basi superstar kisha nikukumbushe.Nikumbushe hebu superstar!
Uko na kumbukumbu nzuri sana jamanii superstar wanguu! Unafaa kwa matumizi
@MO11 umeona mkeo sijui mchepuko wako anavyoanza kunitusi hapa?
Jisahaulishe tu, hadi na vikao vya ukoo mkanikalia
Haya sasa mchukue wewe
Hiyo nyooo unaniita mimi!Nyooooo!!
Ulishanipa udada, huu ni wa kudumu haubadiliki.
Nikutumie nini superstar wanguu kipenziNitumie kwanza basi superstar kisha nikukumbushe.
Hapa naanza kukuelewa sasaOngea taratibu superstar wanguu!
Mpaka wausome mchezoo
Si umeniambia ninafaa kwa matumizi??Nikutumie nini superstar wanguu kipenzi
Hahaha hahaha hahahaSi umeniambia ninafaa kwa matumizi??
EwaaaaaHapa naanza kukuelewa sasa
Hewaala...le superstar mwenyewe.Hahaha hahaha hahaha
Ndiwooo, ukuje sasa
EwaaaaaHewaala...le superstar mwenyewe.
Nacome.