Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,900
- 95,400
Mimi nimekuja speed nikifikiri umempost Daby!
Haswaaa ndio maana tunapendanaHAHA HAHAAAAAAA......AMA KWELI HUISHIWI LADHA YA VITUKO WW KIUMBE, SS MBONA KUTAKUWA HAKUNA UNAFUU KWA YEYOTE MAANA NAMI SI HABA SANA KTK KUKUSHUSHIA VITUKO YANI NAONA NI KAMA VILE "PIPA NA MFUNIKO TUMEKUTANA"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo tu ndio unapajua jirani hahaNilivyoona picha yake nikakumbuka ile line inayosema
" mtoto laini laini, anawakawakaaaa"
Ndio hapo hapo.
Sina churaRafiki avatar yangu haieleweki eleweki hivi ila huu mchezo nauweza!Naweza nikachukua nafasi ya Daby rafiki?
Najua rafiki ila naogopa utakuwa unaninyanyapaa na flat screen yanguRafiki ninachokijua ni kwamba JF wanaoruka mkojo na kwenda kukanyaga mavi ni wengi kisa avatar!
Hahaha umetisha mremboSalamu ulizo nitumia
ah Zimenifikia ah
Nipo salama hata usijali
Nalishwa vitamu
Vinono najilia Biliyani yangamia
Penzi twa dalikana poo kidali
Nimekusahau
Nakumbuka tuu lako jina
Kidogo angaluu
Umengoa mizizi sio kukatashina
Penzi wakapanda dau ah
Mjini baba pesa fitina
Mimi ukanidharau
Visenti haba mfuko umechina
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.