Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,410
- 119,111
Wa kuitwa Mbosso Khan a.k.a muhindi wa kusini.
Ni wimbo gani unaupenda kutoka kwake? Ana mashairi mazito huyu mtoto ila mengine yana ukakasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mashamu shamu mtoto kanikabiri ooohView attachment 1018040
Wa kuitwa Mbosso Khan a.k.a muhindi wa kusini.
Ni wimbo gani unaupenda kutoka kwake? Ana mashairi mazito huyu mtoto ila mengine yana ukakasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wavimbe na wanune
Ishakuwa yakooo
Huu wimbo ni mtamu kama jina lake
Yani mashamu shamu mtoto kanikabiri oooh
Hadi na come come saa kumi na mbili alfajiri
Na nshavesha nyota cheo chake kikubwa cha mapenzi
Kanijaza kanichota kanishika pabaya
Nakutadharisha simu za usiku punguza
Unahatarisha penzi langu moto punguza
Nshakusahau nakumbuka tu lako jina
Kidogo angalau
Umeng'oa mzizi sio kukata shina
Penzi wakapandau dau aah
Mjini baba pesa fitina
Mimi ukanidharau
Visenti haba mfuko umechina
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha Don hebu niambie ulikuwa unawaza niniDah!
Nimefungua nawaza kitu kingine kabisa.
Sawa bana.
Itafune imung'unye.....mmmh nimeshindwa kumaliziaNa wavimbe na wanune
Ishakuwa yakooo
Huu wimbo ni mtamu kama jina lake
Mkuu pia jipe muda wako kumsikiliza huyu fundi wanaemuita Ed Sheeran. .bila muziki sijui haya maisha yangekuwaje.Unamjua Enrique Iglesias baby? Akiimba nyimbo za kubembeleza adi una data... kuna My number one na Hero noma sana
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Baby mimi nyimbo za kizungu nna allergy nazoUnamjua Enrique Iglesias baby? Akiimba nyimbo za kubembeleza adi una data... kuna My number one na Hero noma sana
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mwenza mpende hata ye mwenyewe basi, kijana mtaratibu si mjivuni halafu mwelewaAisee hakuna wimbo wake hata mmoja ninaoupenda.