Mr. Nice Hakamatiki, Kakabidhiwa Range Rover mpya kama kisuuza koo

G

GoLang

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Messages
871
Points
1,000
G

GoLang

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2017
871 1,000
Ingawa sio mshabiki wa muziki hasa wa Kibongo tangu siku nyingi hasa wanamuziki karibu wote, hasa hawa wanaovaa hereni na kushusha suruali siwapendi, lakini sidhani kama iatatokea mwanamziki yeyote bongo kama Mr. Nice kwa pesa, starehe, na kila aina ya mikogo, yaani alikuwa mbabe katika karibu nyanja zote ambazo wasanii huwaza kuzifikia. Acha hawa wanaoigiza, hata kama kashindia mihogo anakuja na pichapicha kwenye mitandao. Mr. Nice alikuwa real, unamwona kwa macho yako jinsi alivyokuwa akisumbua. Cheki Dudubaya mwenyewe alivyoletewa figisu na Nice:


Basi alivyo mshenzi, anakuambia hata akifa leo, hakuna kitu alichoacha, wala hajuti, anakuambia pesa yeye alikuwa anabeba kwenye buti ya gari halafu eti kuna watu wanajiita wana hela huku wameweka kwenye wallet! Noma kabisa ni hii "Nilikuwa natumia pesa mpaka inatoa machozi":


Jamaa hili halikamatiki, sasa amekabidhiwa Range Rover mpya Kampala kama kisuuza koo

 
PRINCE CROWN

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
4,795
Points
2,000
PRINCE CROWN

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
4,795 2,000
Huyu bwana. Juzi juzi alikua amefulia sana. Ila nadhani bado hajajifunza kwamba pesa ina kanuni ukiitunza itakutunza na ukiichezea itakufedhehesha.
 
Emmanuel Robinson

Emmanuel Robinson

Verified Member
βœ…
Joined
May 29, 2013
Messages
842
Points
250
Emmanuel Robinson

Emmanuel Robinson

Verified Member
βœ…
Joined May 29, 2013
842 250
Duh
 
Kilangi masanja

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
1,616
Points
2,000
Kilangi masanja

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
1,616 2,000
Hongera kweli mafanikio popote
 
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Messages
9,060
Points
2,000
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2015
9,060 2,000
Huyu alishachoka......
 
LOTH HEMA

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Messages
4,988
Points
2,000
LOTH HEMA

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2015
4,988 2,000
Mwanamuziki tajiri ni diamond platnamiz, nice kaajiri nani? ana assets gani zaidi ya hilo gari? Gari si Kielelezo Cha Kuwa na hela, kuna watu wana magari yamewaharibikia hawana hela za kuyatengeza imebidi wayatundike juu ya mawe.
 
B

Babuu Rogger

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Messages
1,494
Points
2,000
B

Babuu Rogger

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2011
1,494 2,000
Utajili wa diamondi unaujua????? nyie ndio washika pembe πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Mwanamuziki tajiri ni diamond platnamiz, nice kaajiri nani? ana assets gani zaidi ya hilo gari? Gari si Kielelezo Cha Kuwa na hela, kuna watu wana magari yamewaharibikia hawana hela za kuyatengeza imebidi wayatundike juu ya mawe.
 
dyuteromaikota

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
4,278
Points
2,000
dyuteromaikota

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
4,278 2,000
Kwani ana biashara gani kwa sasa?
 
Slowly

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
2,043
Points
2,000
Slowly

Slowly

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2016
2,043 2,000
Utajili wa diamondi unaujua????? nyie ndio washika pembe πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Mkuu mbna unacheka, Dunia nzima inajua ukitaja East Africa wasanii wenye hela, huwez kuliacha jina la Diamond....na hzo ni official report sio habar za vijiweni
 

Forum statistics

Threads 1,315,426
Members 505,275
Posts 31,857,214
Top