Mr Nice akanusha kifo chake

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
b36059e546800d3c6595e77f535ee5df.jpg
 
Attachments

  • 1482155681163.jpg
    1482155681163.jpg
    66.1 KB · Views: 49
Kwa hiyo amekanusha kuwa hajafa, angekufa angedhibitisha kuwa amekufa?
 
hivi wanaozusha taarifa za kifo huwa wanawaza nini?
Ni upepo tu, unaovuma. Hauwezi kuelewa chimbuko lake.
Mara nyingi husababishwa na ndoto za mtu.
Mtu huyo huota kifo cha anayezushiwa, kisha husimulia ndoto ile.
Msikilizaji ndiye huanza kuzusha uvumi. Ni mambo ya imani ama maono ya kiroho zaidi.
Vumi nyingi za namna hiyo hupelekea kutokea ukweli siku za usoni kwa nyakati hizo.
Chunguza na utafakari, uvumi mwingi uhusuo maisha ya mtu, huja kutokea ukakanushwa na mtu akawepo hai kweli, lakini haipiti muda mrefu, mtu huyo hufariki.
Mfano ni wa marehemu Samuel Sitta.
 
nimekuelewa mkuu lakini ndoto haziwezi kukutabiria 100% ukweli kuna ndoto za uongo pia
 
Back
Top Bottom