Mr mangasini kwanini tanzania ni maskini baada ya miaka hansini ya tanzania

JOHN MADIBA

JF-Expert Member
Jan 30, 2011
251
155
AMESEMA INASHANGAZA MIAKA HAMSINI YA UHURU LAKINI BADO TU MASKINI WAKUTUPWA TUNAAGIZA TISHU NA TOOTHPICK KUTOKA NJE HATA PENCELI, TOILET PAPER.
AKASEMA TANZANIA NA MASKINI KUTOKANA NA
1. KILIMO CHA KUTEGEMEA HURUMA YA MUNGU (MVUA)
2. UCHUMI UNAOTEGEMEA KILIMO ZAIDI BADALA YA VIWANDA
3. KUIGA PROGRAM KAMA MISWADA KUTOKA WB,IMF, MFANO STRUCTURE ADJUSTMENT
4. WANANCHI WAMETENGWA HAWASIKILIZWI.
5. HAKUNA SIASA SAFI
6. WANANCHI HAWANA HAKI YA KUCHAGUA
PIA ALISEMA HUWEZI KUWA NA SIASA SAFI IKIWA UNAMCHAKACHUA SPIKA BY EMPOWER WOMEN BY DISEMPOWER MEN, SHERIA YA UCHAGUZI HAIMRUHUSU MGOMBEA BINAFSI, SHERIA TATA KAMA RAIS UKIONA INAFAA KUNA SIKU RAISI ATAMCHAGUA MKE WAKE KUWA WAZIRI MKUU.:mod::mod:
 
Mangasini ndo yule lecture kilaza wa development study hapo moshi university au mangasini yupi??kama ndo huyo hakuna lolote akili zake ni kama za nape tu..
 
Acha majungu wewe wasomi hawana majibu kama yako comment with research alichokisema katika ukumbi wa nyerere hall hakitakaa kisaulike ana fact za kisomi. majungu si mtaji.
mangasini ndo yule lecture kilaza wa development study hapo moshi university au mangasini yupi??kama ndo huyo hakuna lolote akili zake ni kama za nape tu..
 
acha majungu wewe wasomi hawana majibu kama yako comment with research alichokisema katika ukumbi wa nyerere hall hakitakaa kisaulike ana fact za kisomi. majungu si mtaji.
wasomi gani nyie??na wakiitwa wasomi hata nyie wa vyuo vikuu vya kata mtajitokeza??kwanza wamekuja kwenu huko maana wanajua kwa wasomi real kama udsm au sua hawawezi katiza bora kwa wasomi wa kata kama nyie.
 
Mangasini ndo yule lecture kilaza wa development study hapo moshi university au mangasini yupi??kama ndo huyo hakuna lolote akili zake ni kama za nape tu..

Forum hii haikufai uwezo wako ni kwenye forum ya jokes ndipo panapokufaa.
 
Back
Top Bottom