MR. II Kaandaa Tamasha Kubwa Mbeya Siku ya Fiesta

Observer2010

Senior Member
Oct 29, 2010
195
44
Mbunge wa Mbeya mjini, aka Sugu ameandaa Tamasha kubwa litakaloshirikisha wasanii mbalimbali km Mchizi Mox, Mkoloni, Adili na wengineo wengi kwenye viwanja vya Rwanda Nzovwe. Kiwanja ambacho Chadema walifungia kampeni zao za uchaguzi jijini Mbeya. Hilo tamasha litakuwa free kwa yoyote yule na litaanza saa 4 asubuhi mpaka usiku wa manane.

Hii imekaaje wadau ?
 
kwa ngazi yake ya uongozi hatakiwi kupambana na clouds kama hivi...ni ujinga afanyao...
 
Hiyo imekaa vizuri sana, we have to be anti virus......fiesta is part and parcel of the virus..big up guyz
 
Mbona nimemsikia Mh. Sugu muda mfupi uliopita clouds FM, akisema kuwa tamasha la Fiesta limewakutanisha tena?
 
Hiyo saut ya sugu itakuwa n ya kitambo, kipindi kile yuko nje alipata show ya Fiesta so hyo ilikuwa promo yake. Mbona patamu hapo. Sugu ana mpango kupunguza nyomi la fiesta.
 
Vijana hao wenye mamlaka,kila mtu anatumia nafas aliyonayo........waache walumbane
 
dah iyo imekaa pouwa,alaf hao wasanii cndo wale waliokwama dodoma sugu akawaokoa,kwel fiesta ni mtambo wa kuwanyonya wasanii jiulze msani kama inspecta harun kafanya fiesta ngap alaf leo et anakosa naul ya kumrudsha dar frm dom,ruge ni fsad kwenye huu mzk ama hamjui ni msela wake mkuu wa kaya
 
Mbunge wa Mbeya mjini, aka Sugu ameandaa Tamasha kubwa litakaloshirikisha wasanii mbalimbali km Mchizi Mox, Mkoloni, Adili ?

Duh..tamasha la zilipendwa?? wasimsahau pia Afande Sele, Solo Thang, Inspector Haruni, Zay B, na vijana wa Nyumbani "Uswahilini Matola" wa "Kosa la Marehemu".

Actually watawapata wasio na viingilio vya kwenda fiesta, na wale wapendao kumbukumbu za...enzi hizoo...
 
Back
Top Bottom