Mr Blue ndiye msanii mwenye uwezo mkubwa kwenye stage kuliko wasanii wote wa bongo fleva Tanzania?

Acha leo nami niwe shabiki.

Hatuongelei kujaza nyomi ila amsha amsha ya msanii na kulimiliki jukwaa lake.

Diamond ni msanii mkubwa ana nyimbo nzuri zinazosikilizwa kila mahali.

Ni msanii ambaye akiwa na show atajaza kumzidi msanii yeyote Tanzania.

Lakini jukwaa halimiliki kama Blue. Jamaa ingia Youtube angalia show ya Diamond akiwaZimbabwena Jah wakiperform Watora mari.

Audience ina mzuka lakini hawakuweza kuimaliza kiu au matarajio yao.

Ingia youtube angalia show ya Fiesta mwaka jana Dar blue akiperform...ana pumzi, anaamsha amsha na analimiliki jukwaaanaimba na watu hadi mwisho.

Roma pia chemistry yake na audience akiwa jukwaani ni kubwa saana sema kwa hivi maika ya karibuni imeshuka.

Mtambo mwingine ulikuwa Nature.

Pamoja mkuu, sina ninachokikataa kwa maelezo hayo.

Sijawahi kuwa mshabiki wa Hiphop jukwaani, labda kama performer ana dancers. Entertainment point of view, namchukua Diamond any time.
 
Sifa ambayo haijasemwa hapa ni kuwa ktk wasanii wote wa bongo fleva yy ndo ameweza kukaa ktk gemu muda Mrefu akimantain status yake kwa shoo, intavyuu, na nyimbo kali akipokea kijiti toka kwa Duli na mwingine ni Diamond
Kweli kabisa mkuu
Afu inapendeza sana kuwaona wasanii wa bongo wa zamani wakiwa na life zuri
Nilikua naangalia interview ya doggy anasem zamani walikua wanapiga show vijijini huko kwenye nyumba za movies
 
kumfananisha mr. Blue na wasanii wengine wa bongo flabor ni sawa na kufananisha kifo na usingizi, blue kawaacha mbali sana wabongo flavor, kuanzia anaanza mziki blue sio kwenye stage tu hata nyimbo zake na video zake ni tofauti kabisa kama sio wa nchi hii, ukitaka kuona tofauti ya blue na wengine angalia video moja tu ya blue ya mapozi, kawaida kwa wasiojua maana ya video au movie ni kuonesha kwa vitendo, na ndio maana miaka mingi tumeluwa tukiangalia movies za kihindi wala hicho kihindi chenyewe hatukijui, lakini ukitaka mtu akutafsirie atakupa picha kwa usahihi kuliko huyo muhindi mwenyewe, ukiangalia video ya mapozi kuanzia mwanzo hadi mwisho alichokiimba ndio alichokicheza kwenye video, na ndio kwenye video na ngoma zake zote yuko hivyo, kuna watu wanasema blue ni mzuri kwenye kolabo lakini nyimbo alizoimba mwenyewe blue ndio zimemtangaza yeye kama yeye, msanii wa kibongo aliemfuatia kwa karibu na nahisi angeliweza kumchalenji blue ni snoop lee, ila sijui alipotelea wapi maana mara ya mwisho nilikutana nae sinza club sansiro kwenye staight music hip hop talent search mwaka 2008, tulikuwa naye pamoja na AY tukicheki vipaji sijui kapotelea wapi.
Hakuna msanii bongo ambae anayeweza kuuvaaa huusika kwenye video za Muziki Kama diamond platinumz povu ruksa.
 
Mbwa koko hawang'atiiiiiiiiii,SIMBA OG. BYSER HIMSELF yupo vizuri stejini (hachoshi,anaamsha vibes).Ila singeli ndiyo siku hizi wanashika hatamu kwenye kuamsha vibe wanapoperform stejini (watu hulipuka na kisingeli).Blue ni legendary hivyo anajua nini mashabiki zake wanataka.
Unajua maana ya legendary?Mr blue awezi and he don't deserve that crown.
 
Jamaa ameona aibu kusema alikiba akaona kwa kuwa hampend diamond bora aseme blue

Ila ukweli jukwaan kwa mujibu wa shoo za fiesta na shoo zote jamaa diamond ameonekana kuwa fundi sana na ndo sababu anaweza na ameweza kuandaa shoo yake mwenyewe na watu wanashangilia mwanzo mwisho bila kujutia pesa zao hii ni kuwafanya watu waburudike

Unahakiwa kuwa na ziada jukwaan ikiwa ni pamoja na ubunifu na kusoma mazingira ya mashabik wako kila muda

Hii ameweza yeye tu

Diamond up forever
Fiesta morogoro
Fiesta zote yeye ndo alikuwa muuaji
 
Salute Sana kwa fact tupu
 
Mimi si mmoja wa mashabikiwa Alikiba.....hahahaha utakuwa mgeni hili jukwaaa
 
Back
Top Bottom