Mr blue aongea majukumu yake kama baba,aumalizia mjengo wake kuhamia january 1 2014

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
[h=3][/h]

Hitmaker wa Pesa, Mr Blue aka Kabayser amesema tangu awe baba, maisha yake yamebadilika na haishi kama zamani tena“Nafikiri kwa mimi imenikuza zaidi,” Blue aliiambia tovutui hii.
11036c86567c11e3b8d2126f3d3312b1_8.jpg

Mr Blue na mwanae Sameer

Hata hivyo amesema pamoja na kuwa baba, majukumu aliyonayo hayajabadilika sana japo kwa sasa amekuwa yeye binafsi na familia yake. “Kilichobadilika kwangu ni bidii kuongezeka inabidi niangalie familia yangu iandaje.”

f33b6dfc5f6d11e3948f0a4825b4191e_8.jpg

Wahyda (mchumba wake na Blue) akiwa na mwanae Sameer

“Ni mtu kwakweli kama baba yake na mimi nafurahi,” Blue amemuongea mwanae huyo wa kiume aitwaye Sameer. “Inabidi amrithi baba yake tu kwa uchakarikaji na kila kitu.”

da9d65ca5f0411e39dc812f864d4b6c0_8.jpg
Wahyda

Katika hatua nyingine Mr Blue amesema tayari amemalizia mjengo wake na anatarajia kuhamia tarehe 1 January 2014

Big up dogo.......I really like this guy.

Pia hapo kwa mchuda, nakupa FIVE.

Ila.......................hapo picha ya kati.........kwa nini amegeuka ?
 
Happy kumuona mama mtoto kwa sababu kuna MTU nilimsikia anasema eti unaparamia yule joka wa amazon forest..........aise niliumia utafikiri nilikuwa wewe......

................BIG UP YOUNG BLOOD, COZ HARD WORK PAYS............
 
[h=3][/h]

Hitmaker wa Pesa, Mr Blue aka Kabayser amesema tangu awe baba, maisha yake yamebadilika na haishi kama zamani tena“Nafikiri kwa mimi imenikuza zaidi,” Blue aliiambia tovutui hii.
11036c86567c11e3b8d2126f3d3312b1_8.jpg

Mr Blue na mwanae Sameer

Hata hivyo amesema pamoja na kuwa baba, majukumu aliyonayo hayajabadilika sana japo kwa sasa amekuwa yeye binafsi na familia yake. “Kilichobadilika kwangu ni bidii kuongezeka inabidi niangalie familia yangu iandaje.”

f33b6dfc5f6d11e3948f0a4825b4191e_8.jpg

Wahyda (mchumba wake na Blue) akiwa na mwanae Sameer

“Ni mtu kwakweli kama baba yake na mimi nafurahi,” Blue amemuongea mwanae huyo wa kiume aitwaye Sameer. “Inabidi amrithi baba yake tu kwa uchakarikaji na kila kitu.”

da9d65ca5f0411e39dc812f864d4b6c0_8.jpg
Wahyda

Katika hatua nyingine Mr Blue amesema tayari amemalizia mjengo wake na anatarajia kuhamia tarehe 1 January 2014

Vistaa vya bongo haha
 
hayo makalio ndo nyumba au,ila hako ka manzi kanafanana sana na dogo wangu ila sitaki PM
 
anafanya kazi gani ya kumuingizia kipato maana sidhan kama ana kazi yoyote ya muziki inayo heat kwa miaka kama 8 iliyopita ivi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom