Ninajiuliza inapotokea Makamo wa kwanza wa SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA anapotembelea Tanzania Bara na kupokelewa kwa heshima zote ikiwemo na kupigiwa saluti je Katiba yetu inakitambua cheo hicho? Wajuzi wa Katiba /Sheria naomba ufafanuzi.
Huna taarifa kwamba mbolea inaliwa na mafisadi?Ndo hayo ambayo hakuyasema kuhusiana na MDG.Ufisadi ni kikubwa kinachokwamisha everything.Si kwenye kilimo si kwenye uwekezaji.Alizungumzia hilo?
Zanzibar haijawahi kuwa nchi, Karume aliajiriwa tu na Nyerere, wewe unajua kwanini Mwalimu alimtumia huyu Mmalawi Karume badala ya John aliepindua au kina Hanga waliouliwa na Karume au kina Babu waliofukuzwa na Karume au angemweka Mnyamwezi yeyote katika wale walioletwa kupindua? Mimi ni Mkiristu wa Zanzibar na ni kati Wazanzibari asilia, lakini nadiriki pia kusema Mzanzibari halisi hakuna. Zanzibar leo kwa tamaaa na kujisikia tunajiundia historia tunavyopenda sisi tu.
Wewe unataka nimpe mimba mke wako?Itafikia wakati mtashindwa kuwapa mimba wake zenu kwa kisingizio cha mafisasi; hivi umeshasoma kilichomo kwenye kilimo kwanza kabla kujikita kwenye mjadala?
Chama
Gongo la mboto DSM
Nonda, usitahayari Ahli wangu, hayo unayoyaita mambo 11 ndio Mkataba. Kwahiyo sema hivi: katika mambo 11 ya mkataba wa mwaka 1964. Hakuna kitu kinaitwa mambo, mambo ni neno. Kilichotokea mwaka 1964 ni mkataba wa muungano(Article of union).Unakwepa kusema mkataba kwasababu ZNZ inadai uwepo mkataba, wenye akili zao wanasema huu ni mkataba kabla ya mkataba uvunjwe kwanza huu uliopo wa 1964. Ushanifahamu !Nonda;4732913]Hakuna sehemu inayoitwa Tanzania bara.Muungano wa mambo 11 wa 1964 uliundwa na nchi zipi?.......Je serikali ya Zanzibar ni katika yale mambo 11(22) ya muungano...........Serikali ya Zanzibar na serikali ya Tanganyika zilikubaliana kuunganisha mambo 11 ambayo yaliitwa mambo ya muungano. Na kutokana na makubaliano hayo ndio iliundwa serikali ya Muungano (ilipewa mamlaka ya kusimamia mambo 11 yaliyoitwa mambo ya muungano)?
Nashukuru sana kuwa unajibu hoja za siku nyingi WZNZ wanaogopa kuzikabili. Kwa maelezo yako Naomba nimualike Baru baru. Yeye anasema muungano utavunjwa na bunge la JMT. Kwa maelezo yako mwanana 'that has nothing to do with Zanzibar'. Umeelewa kuwa hatima ya ZNZ ipo mikononi mwa BLW na SMZ. Kwahiyo ZNZ ingetaka kuvunja muungano hakuna pingamizi, kinachotokea ni hofu ya wapi watajibanza? Ndiyo maana tunaona EU, Senegambia, Uswiss n.k.uwepo wa serikali ya Zanzibar hautegemei baraka/ matakwa ,upendo au hasira za serikali ya Muungano...Katiba ya Muungano kuweka vipengele vinavyoihusu/ vinavyohusiana na serikali ya Zanzibar ni katika hayo mazingaombwe........Kimsingi serikali ya Zanzibar ni mamlaka inayojitegemea. muundo wa serikali ya Zanzibar au aina ya viongozi watakaoendesha serikali hiyo yanatokana na sheria za baraza a wawakilishi.........It has nothing to do with the union constitution....... Serikali ya Zanzibar ni ya wazanzibari. Haituhusu
Hapa napo unajichanganya tena sana. Unapokuwa na mambo 1, 2, 11 au 32 huwezi kuepeuka mahusiano ya serikali. Mathalani, utazungumziaje mambo ya ulinzi na usalama bila kushirikisha serikali zote mbili?Hapa natofautiana na watu wengi wanaosema kuwa Katiba ya serikali ya Muungano inamtambua waziri kiongozi.Kwa maoni yangu, Katiba ya muungano haipaswi kabisa kuwa na vifungu vinavyoihusu serikali ya Zanzibar.Zanzibar wana haki na uhuru kuamua muundo na aina ya viongozi wanaotaka wawe nao katika serikali yao
Hili nalo linahitaji ufahamu. Gharibu Bilal alipata nafasi hiyo kwasababu ya Uzanzibar wake. Juzi alipewa bilioni 32 apeleke ZNZ kupitia ofisi ya makamu wa Rais. Kama hilo si kweli WZNZ wangeanza na kumkana kwanza makamu wa Rais wakane pesa ili tujue msimamo wao.Mazingaombwe tuliyokuwa nayo, tuliyafanya kuwa kiroja zaidi kwa kumtupa (mkakatiwa kisiasa) mwakilishi mkuu wa wazanzibari/serikali ya Zanzibar(rais wa Zanzibar) nje ya muundo wa serikali ya Muungano.....Hivi Bilali anamwakilisha nani? Kama sio yeye mwenyewe na familia yake?
jmushi1; Hiyo siyo delegation ya Mh. Membe ni Staff wa balozi zetu Washington na New York, bali kunawasaidizi wake wawili tu. Hiyo Hotuba yake imeweka Tanzania juu ya map ya UN maana one of the best message in the World preventive deplomacy. He spoke about from Cuba, Western Sahara, Great Lakes, Palestine to Syria. Big Up Hons. Membe!Duh!Yani kuanzia ndani hadi nje anapongezwa tu.Na wakati picha nyingine ni kama tu photo opp.Kama hizo picha nyingine za nje bado tu anapongezwa lol!Anyways inaonekana walikuwa so excited na hiyo wanayoiita statement,ngoja niitafute niisome.
BTW naona hizi kama mbio za urais.Ndo chaguo la JK huyu?Halafu msafara mkuubwa,wabongo bana,na umasikini wa wananchi lakini wapi!
Nonda, usitahayari Ahli wangu, hayo unayoyaita mambo 11 ndio Mkataba. Kwahiyo sema hivi: katika mambo 11 ya mkataba wa mwaka 1964. Hakuna kitu kinaitwa mambo, mambo ni neno. Kilichotokea mwaka 1964 ni mkataba wa muungano(Article of union).Unakwepa kusema mkataba kwasababu ZNZ inadai uwepo mkataba, wenye akili zao wanasema huu ni mkataba kabla ya mkataba uvunjwe kwanza huu uliopo wa 1964. Ushanifahamu ! Nashukuru sana kuwa unajibu hoja za siku nyingi WZNZ wanaogopa kuzikabili. Kwa maelezo yako Naomba nimualike Baru baru. Yeye anasema muungano utavunjwa na bunge la JMT. Kwa maelezo yako mwanana 'that has nothing to do with Zanzibar'. Umeelewa kuwa hatima ya ZNZ ipo mikononi mwa BLW na SMZ. Kwahiyo ZNZ ingetaka kuvunja muungano hakuna pingamizi, kinachotokea ni hofu ya wapi watajibanza? Ndiyo maana tunaona EU, Senegambia, Uswiss n.k. Hapa napo unajichanganya tena sana. Unapokuwa na mambo 1, 2, 11 au 32 huwezi kuepeuka mahusiano ya serikali. Mathalani, utazungumziaje mambo ya ulinzi na usalama bila kushirikisha serikali zote mbili?
Hayo mambo 11 unawezaje kuyatekeleza kama hutahusisha serikali husika? Ni jambo gani katika hayo 11 ambalo unadhani linaweza kufanyika bila kushirikisha SMZ. Hili nalo linahitaji ufahamu. Gharibu Bilal alipata nafasi hiyo kwasababu ya Uzanzibar wake. Juzi alipewa bilioni 32 apeleke ZNZ kupitia ofisi ya makamu wa Rais. Kama hilo si kweli WZNZ wangeanza na kumkana kwanza makamu wa Rais wakane pesa ili tujue msimamo wao.
Unajua ubinafsi, uchoyo, fitna na majungu vinawatesa sana WZNZ. Inafikia mahali ukisikia matamshi fulani unahisi wanamdhihaki muumba. Huwezi kuwa muumini ukiwa na roho ya chuki, umeshiba fitna, na kuvimbiwa uchoyo.
Mfano, SMZ imepeleka mswada wa kuondoa mafuta katika mambo ya muungano. Hakuna hata siku moja wamewahi kujadili kwanini wanatumia umeme bure. Hapa mafuata ni SMZ, umeme ni Tanzania.
Kobello; Nimekuwa nikifuatilia uwakilishi wa Mh. Membe katika jukwaa la kimataifa, mambo yafuatayo Tanzania imekuwa ipo juu kwenye Ramani ya Dunia! 1. Tanzania inafuata sera za Preventive Diplomacy ili kudumisha amani Duniani hii imetuletea heshima kubwa duniani. 2. AGRF 2012 in Arusha 3. Africa Food Security Program Tanzania ni miongoni mwa nchi tatu kama model ya program. na mengine mengi ambapo Tanzania imekuwa destination ya mikutanon mingi ya dunia.Kivipi?