Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,807
- 34,193
Mr Adam wa Tunduma kwa utaalamu huu anastahili kupewa heshima
Neno moja kwa Mr Adam wa Tunduma kwa kazi nzuri
rotar haizunguki kwan jamaa kaleta picha au videoMbona rota haizunguki, kujenga kitu kinachofanana na helicopter ni rais sana, is that helicopter aerodynamic?
Umeniwahikazi nzuri. video iliwa inaruka ingependeza zaidi
niliiona video lakini, kazi hii nzuri hadi video inaisha mtambo uko sakafuni. Ikiwa hewani safi zaidi tuboreshe pongeziUmeniwahi
Nn nataka kuiona ikianza kuruka..ikiwa angani Na wakati inatua...itakuwa poa sananiliiona video lakini, kazi hii nzuri hadi video inaisha mtambo uko sakafuni. Ikiwa hewani safi zaidi tuboreshe pongezi
Kwani katumia injini ya power tiller???/?Hakuna kitu kama icho helcopta haiwezi paa kwa injini ya power tilla ata siku moja hapo umedanganywa bwana mzizi mkavu.
Umeona picha ya helicopter iliyo kwenye motion ilivyo?rotar haizunguki kwan jamaa kaleta picha au video
hiyo ni pichq na ikipgwa kitu hakiwez kuonekana kinazunguka
kwa kuwa adam hayupo humu bhas tuseme rotor yake haizunguki ilq unaamin helcopter ipo hewanUmeona picha ya helicopter iliyo kwenye motion ilivyo?
What ever it is still there is something to appreciate considering the stage we are technologicallyMbona rota haizunguki, kujenga kitu kinachofanana na helicopter ni rais sana, is that helicopter aerodynamic?
kweli wewe ni mhuni na hufanani na sura yako, HAKUNA HELKOPTA ILIYORUKA HUJO RUVUMAkwa kuwa adam hayupo humu bhas tuseme rotor yake haizunguki ilq unaamin helcopter ipo hewan
Tunduma: Jamaa kaunda ndege aina ya Helocopter ipo tayari kwa kuzinduliwa na Mbio za Mwenge
Mbeya tunduma wana vipaji je unamaoni gani watu wana unda helkopta
Helkopta mpya ya Kitanzania Iliyotengenezwa Tunduma Kuzinduliwa. Imepewa Jina la Songwe
View attachment 363491 View attachment 363489 View attachment 363490
View attachment 363470
jamaa alikuwa anasema halizungukq nami nikamuambia bhsa poa tuseme haizunguki ila video nmeona inazungukakweli wewe ni mhuni na hufanani na sura yako, HAKUNA HELKOPTA ILIYORUKA HUJO RUVUMA
(panga kubwa la Helkopta huwa lazima liingie katikatu ya panga dogo la nyuma na panga hilo kubwa hukaa mawulu katika moja kwa ajili ya kwenda juu na kushuka chini. kumbuka mkia wa chini kumbuja Mkia wa nyuma huwa na bawaba kwa ajili ya kukata kona)
cc
MziziMkavu