Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah ngoja tuone boss.bora wapitie utumishi maana hawa jamaa walikuwa wanawekana tu
we omba mkuu hayo mengine we achana nayoSafi. Hizi ni ajira moya au ni za kuziba pengo la wanaostaafu/ kufariki/ kuachishwa kazi?
Hahaha ni kwamba muhimu kazi tu wafe watu wafukuzwe watu kufa kufaaanawe omba mkuu hayo mengine we achana nayo
Utumishi nao ni wale wale kuna picha limechezwa BRELA mpaka nakosa imani.MPYA; TANESCO watangaza Nafasi za Kazi 569 kupitia PSRS
KAZI kwenu vijana
We omba tu boss kama una vigezo kutokuomba haifanyi hizo lope holes ndiyo zimeshughurikiwa hii ni sawa na Hasira za mkizi.Utumishi nao ni wale wale kuna picha limechezwa BRELA mpaka nakosa imani.
Hahaha...We omba tu boss kama una vigezo kutokuomba haifanyi hizo lope holes ndiyo zimeshughurikiwa hii ni sawa na Hasira za mkizi.
Unaomba kupitia Portal mkuu ya porta.ajira.go.tzHv wadau hizi kaz tunatuma kwa anuani ipi? Tueleweshane
Ume updates taarifa zako ?? Kuna kipengele kimeongezeka kinauliza kama wewe ni (in serve ) yaani mwajiriwa tayari au lah hivyo unatakiwa ujibu yes kama ni mwajiriwa na no kama si mwajiriwa. NA JARIBU KU UPDATES taarifa mbalimbaliWakuu msaada tangu nianze kuapply post za utumishi nimepata bahati ya kuitwa mara moja tu but nyingi huwa sipati nyafasi ya kuwa shortlisted licha ya rundo la watu zaidi ya 300 kuitwa so sijajua mimi nakosea wapi!!! msaada wenu wakuu inawezekana kuna mahala nakosea nirekebishe yasije jirudia na hii nikakosa kuwa shortlisted.
Shukrani sana mkuu!! Km kuna vingine unaweza jazia .Ume updates taarifa zako ?? Kuna kipengele kimeongezeka kinauliza kama wewe ni (in serve ) yaani mwajiriwa tayari au lah hivyo unatakiwa ujibu yes kama ni mwajiriwa na no kama si mwajiriwa. NA JARIBU KU UPDATES taarifa mbalimbali
we omba mkuu hayo mengine we achana nayo
540kMkuu hivi driver analamba shingapi kwa Tanesco...?
Na Accounts Assistant Analamba ngapi mkuu?540k
540k