MPYA: TANESCO watangaza nafasi 569 za kazi kupitia PSRS

Wakuu msaada tangu nianze kuapply post za utumishi nimepata bahati ya kuitwa mara moja tu but nyingi huwa sipati nyafasi ya kuwa shortlisted licha ya rundo la watu zaidi ya 300 kuitwa so sijajua mimi nakosea wapi!!! msaada wenu wakuu inawezekana kuna mahala nakosea nirekebishe yasije jirudia na hii nikakosa kuwa shortlisted.
 
Ume updates taarifa zako ?? Kuna kipengele kimeongezeka kinauliza kama wewe ni (in serve ) yaani mwajiriwa tayari au lah hivyo unatakiwa ujibu yes kama ni mwajiriwa na no kama si mwajiriwa. NA JARIBU KU UPDATES taarifa mbalimbali
 
Shukrani sana mkuu!! Km kuna vingine unaweza jazia .
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom