Mambo vipi jaman mi nikijana mwenye miaka 24, nimemaliza pale mliman mwaka huu, so bado nipo kitaa sijapata raman ya uhakika, nikiwa pale kuna dem nlikuwa nae ila soon 2lipomaliza huwezi amin nimepata info kua kaolewa!
Roho imeniuma sana jaman coz nlimpenda sana, by the way saiv niko single full upweke mwanzo mwisho, so nimeamua kutafta gf mwingine, so aliyeko tayari kuokoa jahaz pliz an pm, awe mweupe kiasi mrefu kiasi coz mi mwenyewe mrefu, asiwe mnene, din yeyote, elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea, age 17 up to 24.
Then ntafurahi jaman! Aman kwenu wapendwa!