Mpwa wangu anahitaji counceling!

Quemu

JF-Expert Member
Jun 27, 2007
984
128
Nina mpwa (kike) wangu ambaye yuko Form III. Tatizo performance yake darasani inashuka kila siku. Mwanzoni alikuwa ana perform vizuri sana darasani. Lakini kadri anavyozidi kukua ndivyo grade zake zinavyozidi kuwa "D's" na "F's". Na sasa, mwalimu wake mkuu amemwambia kuwa inabidi arudie Form III (kitu ambacho ninapinga kwa nguvu zote) mwakani.

Nimetoa wazo apelekwe kwenye counseling service. Pengine itasaidia. Ila katika familia yangu, hakuna anayejua kama kuna hiyo service Bongo.

Je kuna therapist(s) bongo?
 
Sijui kuhusu counselling. Kuna uwezekano ana mwanaume anamfanya asisome hebu jaribuni kuangalia na hilo na pia kuna uwezekano labda masomo ya madarasa ya juu yamekuwa magumu kwake hivyo inabidi apate msaada wa tuition (kama hana)
 
Hili swala la mwanamume kwa kweli sijui. Shule anayosoma ni ya masista, na ni wanawake tu. Mimi sikai nae. Ila wanaokaa nawe wanasema kuwa hana kijana yeyyote, kwa sababu hana muda wa kuhang huko nje. Anapelekwa na kurudishwa shule, na akiwa nyumbani hana tabia ya kutoka kwenda kupuyanga mitaani (haruhusiwi). Besides, she is 16 (if it makes any difference).

Hivi twisheni kweli zinafanya kazi au ndio upotezi wa muda na hela. I would rather have her get a counseling first kabla hayo mambo ya twisheni.
 
Pole sana.....umri huo ni ule umri mbaya hasa kwa watoto wa kike...hasikiii wala haoni....
>Yawezekana ana bf amba anamkeep busy kimawazo na kifikra.....mkuu kuwa kwenyes hule za masista sio kitu...

Ningeshauri kitu sijajua anakaa na nani nikiwa na maana wazazi wake au kaka zake au dada zake....watoto wa kike wanaokaa an dada zao huwa na tabia ya kuwa sugu wanapofikia umri huo.....jaribu kuongea nae wewe wanasikiliza sana watu wa kiume kuliko jinsia yao.....

Pili mkuu msijaribu kumbana sana,mnapombana namba hio hajiskii huru fikiria mbao wa shuleni kule kwa masista na akirudi home hali inakuwa mbaya hata kutoka haruhusiwi...anajihisi hatendewi haki.....

Ushauri:Tution sio tija achana nayo najua shule za masista wanapata kila kitu.....Ongea nae wewe personally muulize ana tatizo gani mpaka anafeli masomo....
......Nina uzoefu na hayo dada zangu wamesoma huko kwa masista na gf wangu pia kasoma huko nilikuwa naona hali kama hii.....
 
Pole sana.....Yawezekana ana bf amba anamkeep busy kimawazo na kifikra.....mkuu kuwa kwenyes hule za masista sio kitu...

Au inawekana ni kinyume chake.

Yaani hana kavulana. Na kwa sababu yuko kwenye umri matata, matamanio ya kuwa na bf yanamsonga mpaka anashindwa ku-focus...

Who knows!

Ningeshauri kitu sijajua anakaa na nani nikiwa na maana wazazi wake au kaka zake au dada zake....watoto wa kike wanaokaa an dada zao huwa na tabia ya kuwa sugu wanapofikia umri huo.....jaribu kuongea nae wewe wanasikiliza sana watu wa kiume kuliko jinsia yao.....

Pili mkuu msijaribu kumbana sana,mnapombana namba hio hajiskii huru fikiria mbao wa shuleni kule kwa masista na akirudi home hali inakuwa mbaya hata kutoka haruhusiwi...anajihisi hatendewi haki.....

Ushauri:Tution sio tija achana nayo najua shule za masista wanapata kila kitu.....Ongea nae wewe personally muulize ana tatizo gani mpaka anafeli masomo....
......Nina uzoefu na hayo dada zangu wamesoma huko kwa masista na gf wangu pia kasoma huko nilikuwa naona hali kama hii.....

Anakaa na wazazi wangu.

Huenda ushauri wa kupunguza geti kali unaweza kufanya kazi somehow. Nitawashauri wazazi wamwachie kaupenyo ka kwenda kuwatembelea marafiki zake angalau.

Yes, nina mpango wa kuongea nawe kwa kirefu. Kusema kweli kushuka kwa performance yake kunanisikitisha sana. Ni msichana mmoja mtiifu sana (mbele ya macho). Natumai anaweza kufanya vizuri, kama akivuta soksi zake.
 
Wait a moment!
Is it not at Form 3 when Tanzanian kids are required to make choices that affect their academic careers?Is it not then,when Focal Studies exfoliates into Physical Geography,Introductory Biology lyse into Physiology,Old Testament into New,East African History into Know it all History....and on and on and on?

Could it have been the choices that she made?How is she dealing with these brutal yet expected changes?Has she remained the little,playful girl she was in Form One while trying to take on tasks of a Form Three?Is she (as an individual) realizing these changes,both in the demands of her courses as well as her own performance?Does she even know what she wants?

Please,don't turn my Tanzania into Therapists-demanding country where 90% of the victims don't even know what their problems are and,the remaining 10% aren't sure whether those problems are truly theirs or the Therapists' ideas.

Talk to the girl and see what she knows of the situation and work from there.We can only go as far as making assumptions but the reality still,lies within herself.Go,get it from her!
 
QM fanyia kazi hayo maelezo ya Suki...he seems to be our counselor...here...JF.
 
Suki, hapo Mkuu naomba nikubali kweli JF kuna kila aina ya talent!! Hata mimi umenisaidia sababu nina tatizo kama hili la mwenzetu QM, tumejaribu tuition hakuna kitu ngoja niangalie/nifuate ushauri wako Mkuu!!
 
Wait a moment!
Is it not at Form 3 when Tanzanian kids are required to make choices that affect their academic careers?Is it not then,when Focal Studies exfoliates into Physical Geography,Introductory Biology lyse into Physiology,Old Testament into New,East African History into Know it all History....and on and on and on?

Could it have been the choices that she made?How is she dealing with these brutal yet expected changes?Has she remained the little,playful girl she was in Form One while trying to take on tasks of a Form Three?Is she (as an individual) realizing these changes,both in the demands of her courses as well as her own performance? Does she even know what she wants?

Please, don't turn my Tanzania into Therapists-demanding country where 90% of the victims don't even know what their problems are and,the remaining 10% aren't sure whether those problems are truly theirs or the Therapists' ideas.

Talk to the girl and see what she knows of the situation and work from there.We can only go as far as making assumptions but the reality still,lies within herself.Go,get it from her!

Heshima yako mkuu, umenipa somo! I'm glad I open JF today.

.
 
hivyo katika environment ya bongo,counselling inafanya kazi ?

...inawezekana, so long as counsellor ata identify distractions zinazomkabili binti, na jinsi atavyoweza mshauri jinsi ya kuzikabili kwa manufaa yake.

...
Talk to the girl and see what she knows of the situation and work from there.We can only go as far as making assumptions but the reality still,lies within herself.Go,get it from her!

...ndio councelling yenyewe hii, ingawa kuna nyakati, baadhi ya wazazi hawajajaaliwa busara hiyo. Uzunguni counselling ni biashara, hasa kwakuwa ile mijitu inajiona yenyewe haina muda wa kusikiliza shida, kutafakari na kutoa ushauri muafaka.
 
Nina mpwa (kike) wangu ambaye yuko Form III. Tatizo performance yake darasani inashuka kila siku. Mwanzoni alikuwa ana perform vizuri sana darasani. Lakini kadri anavyozidi kukua ndivyo grade zake zinavyozidi kuwa "D's" na "F's". Na sasa, mwalimu wake mkuu amemwambia kuwa inabidi arudie Form III (kitu ambacho ninapinga kwa nguvu zote) mwakani.

Nimetoa wazo apelekwe kwenye counseling service. Pengine itasaidia. Ila katika familia yangu, hakuna anayejua kama kuna hiyo service Bongo.

Je kuna therapist(s) bongo?

Kulikua na mama mmoja alikua anatumiwa na international school of tanganyika.Kama mwanafunzi ana matatizo wanampa mzazi contact za huyo mama.Alimsaidia mdogo wangu wa kike[same age] miaka ya nyuma hebu waulize wanaweze kupa contact zake.Tulielekezwa na mtu,mdogo wangu hakusoma pale.
 
Ni kweli mchongoma, ila nahisi kuifanya biashara hapa bongo sio njia sahihi.

Huko ughaibuni vyuo vimejiri watu wenye taaluma hii au sio? Kwenye shule na vyuo vyetu hapa bongo, kuna waajiriwa wa taaluma zipi nyingine ukiacha wale waliosomea fani ya ualimu, wahasibu, wapishi, au walinzi?

Ikiwa hata hizo tunazoambiwa ni "International Schools" zinakosa counselors (to assist on social problem, career, academic matters) itakuwa jambo la ovyo. Do they have any excuse?

.
 
Huyo mtoto aliporomoka ghafla kutoka A and B's mpaka D and E's na baada ya kushauriwa tukaona mabadiliko sasa hivi anasomea udaktari.
 
Unaweza kutueleza kwa ufupi nini kilimsibu na ni mapendekezo gani yalitolewa na huyo mama? Huenda ikasaidia wengine if it is a common case

.
 
Hebu angalia anatumia simu kiasi gani na internet! Kuna wengine vitu hivi haviwasumbui lakini wengine vinawasumbua sana maana she can meditate on an sms for many hours. Pengine ni ubongo wake tu umekuwa deleted kwa sababu ya psychological problems.
 
Nina mpwa (kike) wangu ambaye yuko Form III. Tatizo performance yake darasani inashuka kila siku. Mwanzoni alikuwa ana perform vizuri sana darasani. Lakini kadri anavyozidi kukua ndivyo grade zake zinavyozidi kuwa "D's" na "F's". Na sasa, mwalimu wake mkuu amemwambia kuwa inabidi arudie Form III (kitu ambacho ninapinga kwa nguvu zote) mwakani.

Nimetoa wazo apelekwe kwenye counseling service. Pengine itasaidia. Ila katika familia yangu, hakuna anayejua kama kuna hiyo service Bongo.

Je kuna therapist(s) bongo?

Nasikitika huyo binti kuna vitu ameshavijua, na inawezekana alikuwa akilindwa sana either na wazazi au walezi na sasa kapata upenyo kakutana na maswahibu yaliyomtia kiwewe na kumfanya akili imruke. Ni kama ngómbe wale wanaoitwa wa kizungu, akipata fursa ya kutoka nje ataruka hadi kuvunja miguu huku machozi yakimtoka.

Suggestion:[/U]Mkalishe chini jaribu kumueleza kwamba hivyo vinayomzuzua vipo na havitakwisha, mweleze umuhimu wa elimu katika maisha yake pia mjulishe na mfahamishe kwamba the ONLY RELIABLE MAN (LOVER) IN THIS WORLD IS EDUCATION.
 
Wait a moment!
Is it not at Form 3 when Tanzanian kids are required to make choices that affect their academic careers?Is it not then,when Focal Studies exfoliates into Physical Geography,Introductory Biology lyse into Physiology,Old Testament into New,East African History into Know it all History....and on and on and on?

Could it have been the choices that she made?How is she dealing with these brutal yet expected changes?Has she remained the little,playful girl she was in Form One while trying to take on tasks of a Form Three?Is she (as an individual) realizing these changes,both in the demands of her courses as well as her own performance?Does she even know what she wants?

Please,don't turn my Tanzania into Therapists-demanding country where 90% of the victims don't even know what their problems are and,the remaining 10% aren't sure whether those problems are truly theirs or the Therapists' ideas.

Talk to the girl and see what she knows of the situation and work from there.We can only go as far as making assumptions but the reality still,lies within herself.Go,get it from her!

Suki,

Umenisaidia sana na jinsi ya kujiandaa kwenda kuongea na mpwa wangu. Maana nilikuwa najaribu kuandaa notes na 'viboko' (joke) za kwenda kuzishusha kwake. Nashukuru.

On the other hand, hivi kweli counselling haiwezi fanya kazi bongo? Na kuiga umangharibi kote huku, bado hatujafikia level ya kuperform psychoanalysis and stuff? Anyway, kama bado, nina uhakika hiko njiani....

Ahsante~
 
Back
Top Bottom