Mpuuzeni Selemani Kova, hajielewi yeye ni kada wa CCM au ni mtumishi wa umma

Wewe mtoa hoja, unahamàsisha uchochoze usio wa msingi, suala kustaafu Lin utaratibu wake lkn pia kuna mtindo wa kupewa mkataba hats umri wa kustaafu umefika ikiwa utendaji wko no mzuri
 
wewe umekuzwa kwa kodi za watanzania na mara nyingi umekua ukijitoa ufahamu...sasa dawa ipo njiani...akili itawarudi tu na mtaona gharama ya uvunjwaji wa wazi wa sheria haswa kwa waliotarajiwa kuzisimamia.

- UKAWA mkishinda URAis nahamia Liberia kuongozwa na Le Mbebezzz U know hahahahahahah

Le Mu
 
wewe umekuzwa kwa kodi za watanzania na mara nyingi umekua ukijitoa ufahamu...sasa dawa ipo njiani...akili itawarudi tu na mtaona gharama ya uvunjwaji wa wazi wa sheria haswa kwa waliotarajiwa kuzisimamia.
hawa ukiondoa wazazi wao kwenye siasa nakuhakikishia wanakufa mara moja !
 
Kova huwa anapenda sifa, anapenda kuonekana, mpenda rushwa na mwoga sana kwa watu wa juu yake.. Haya mambo always yana mwisho wake. Can never be forever!
 
Back
Top Bottom