Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 17,374
- 21,069
Ndugu wa marehemu Rugemarila Mutahaba embu mumsitiri huyu mjomba Mpoto maana inastaajabisha sana.
Mpeni viatu akimaliza kuzika angalau arudi na viatu huku dar.
Yani mpaka kuposti picha yake inatia kinyaa kwa kweli duh hurumaaa