Mzalendo Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 735
- 191
Taarifa toka Ulanga Magharibi zinasema Mponda amepata 18,0000 na Prof Mlambiti amepata 15,000. Kwa wale vijana sana Urafiki Jazz Band ilikuwa inatumia mtindo wa Chakachua Ngoma!

NACHUKIA CCM TO THE GRAVE,napenda kuwasikitikia waliomchagua yule MTALII jike(jk), 4 anada 5 painful yrs. too sad:nono:
Yaani kwa mtazamo wangu biandamu anayepigia kura CCM for another 5 years ni mvivu na masikini wa fikra! :boink::sorry::bump2: