Mpira wa Ndondo: Rule number One, hakuna off-side

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,095
103,343
54432978_437322877005440_5831528039833403392_n.jpg

Tuliowahi kusakata ndondo tukutane hapa haraka sana. Mnakumbuka unwritten rules za ndondo halisi?

Mi nakumbuka kadhaa
1. Hakuna offside.

2. Hakuna refa

3. Hakuna timu rasmi. Mnajipanga mstari mrefu mmoja,mnajigawa kwa kwenda mbele na kurudi nyuma. Likitokea tukio fulani unaweza kuhamia timu ya pili

3. Hakuna sheria ya idadi ya wachezaji

4. Tunakipiga peku,ukija na rubber tunaweza kukutaza kuvaa

5. Hakuna jezi. Timu moja inavua mashati

Tukumbushe zingine

Watoto wakishua hawawezi kujua. Na kama hukupiga ndondo basi we sio msela
 
View attachment 1051449

6. Mmiliki wa mpira ndio anaamua kama ni goli ama sio goli
 
View attachment 1051449

Tuliowahi kusakata ndondo tukutane hapa haraka sana. Mnakumbuka unwritten rules za ndondo halisi?

Mi nakumbuka kadhaa
1. Hakuna offside.

2. Hakuna refa

3. Hakuna timu rasmi. Mnajipanga mstari mrefu mmoja,mnajigawa kwa kwenda mbele na kurudi nyuma. Likitokea tukio fulani unaweza kuhamia timu ya pili

3. Hakuna sheria ya idadi ya wachezaji

4. Tunakipiga peku,ukija na rubber tunaweza kukutaza kuvaa

5. Hakuna jezi. Timu moja inavua mashati

Tukumbushe zingine

Watoto wakishua hawawezi kujua. Na kama hukupiga ndondo basi we sio msela
Labda ndondo ya kwa mama yake
 
Back
Top Bottom