Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,691
Mwanaume wa Kifaransa ambaye anakwenda kwa jina la Florian Lejeune jana alifanya maajabu yake kwa kutumia muda usiozidi dakika moja na nusu kuweka kambani magoli mawili dhidi ya Everton na kuwapa Newcastle sare ya 2-2 .
Mpaka dakika ya 93 Everton walikuwa mbele kwa magoli 2-0 lakini mpaka dakika ya 94 mechi inaisha 2-2 , hapo ndio unajua kazi ya ukocha ni ngumu sana tena sana , huwezi kuvaa viatu vya Carlo Ancelotti hapo jinsi anavyojisikia sasa hivi.