Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,905
- 150,212
Mpira wa miguu kwa miongo kazaa umeteka mashabiki duniani kote kila mtu kuwa mshabiki na mpenzi wa timu flani ,kwa Tanzania huwezi kuzungumzia mpira bila kuzitaja Simba na Yanga ni club kongwe na zenye mafanikio ukiringanisha ni timu nyingine nchini
Kitu ambacho huwa sikiamini mpaka leo ni juu ya imani za kishirikina kwenye mpira , japo wengi wanadai upo na baadhi ya timu zetu hivi karibuni mfano mechi ya simba na yanga iliyopita Yanga walitumia mlango ambao sio rasmi kuingia uwanjani na jana kigoma walionekana simba wakilazimisha kupita mlango ambao waliutaka wao yote wengi wanadai ni imani za kishirikina ...
Je uchawi upo kwenye mpira ?
Mshana Jr una la kuongeza ?