MPIRA AUKO FAIR..MAGOLI 10 PTS 6/MAGOLI MAWILI PTS SITA......HAPAKAZITUU

Hahahaaa. Swahiba ikiwa ulizikosa round ya kwanza kikosi chetu tia maji tia maji sijui kama round ya pili mtatupata.
Hahaha saivi tutaingia uwanjani na biblia, Qur'an, na rozari za kutosha, ule uchawi wa kuhamisha magoli tutaukomesha.
 
Yanga ipo kimipango zaidi kuliko hao mambumbumbu na magoli yao ya kununua

Sijui kama wananunua ila kiukweli yuko mchezaji mmoja wa Simba huwa hakabwi uwanjani na mabeki wa baadhi ya timu na ndiye ambaye wakati mwingine hufunga mabao mengi....tehtehtehtehteh mpira wa TZ bwana...
 
Sijui kama wananunua ila kiukweli yuko mchezaji mmoja wa Simba huwa hakabwi uwanjani na mabeki wa baadhi ya timu na ndiye ambaye wakati mwingine hufunga mabao mengi....tehtehtehtehteh mpira wa TZ bwana...
Hiyo team huwa wananunua magoli haswa kwa timu hizo ndogo
 
Mbona huu wimbo wa ngoja muanze kutoka nje au mikoani umekuwa kama wa mpiga filimbi wa hemelini? Au ni kwa sababu Simba kashinda, katoa sare na kufungwa mikoani? Watu waelewe mpira sio hesabu kuwa moja jumlisha moja ni mbili. Wengi watashangaa sana pale Yanga atakapoanza kucheza ugenini au mikoani kama wengi wasemavyo. Time will tell!!!
Hahaha.. Kuweka kumbukumbu sawa, mmebakiza mchezo mmoja tu.

Kuweseka kwetu ni kugawa dozi nzito nzito tu, 03/11.

NB: Ile honeymoon yenu ya kushinda ndani siku 11 imekaribia kuisha.. Tunawasubiri mtoke nje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom