Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,321
- 115,321
Hahahaaa. Swahiba ikiwa ulizikosa round ya kwanza kikosi chetu tia maji tia maji sijui kama round ya pili mtatupata.
Jipe moyo tu, hujui una pointi zangu tatu nazisubiri kwa hamu.
Hahahaaa. Swahiba ikiwa ulizikosa round ya kwanza kikosi chetu tia maji tia maji sijui kama round ya pili mtatupata.
Jipe moyo tu, hujui una pointi zangu tatu nazisubiri kwa hamu.
Ewaaaaaaaa.Tukianza kwenda mikoani tunaanza ile fomesheni tuliowachezea mikia
Hahahaaa. Haya nipo nasubiria swahiba na ikiwa kinyume chake nitafanya hivyo hivyo na miee.Hahahaha hakika kwa ninavyokupenda na kukujali mtani, nikishakabidhiwa ndoo ntajitahidi nikumegee hata kakipisi ili ufute hata machozi (anayecheka mwanzo hulia mwishoni).
Wewe ni nani wa kuamua furaha yetu iwe sasa na baadae tusiwe na furaha.
Hahaha saivi tutaingia uwanjani na biblia, Qur'an, na rozari za kutosha, ule uchawi wa kuhamisha magoli tutaukomesha.Hahahaaa. Swahiba ikiwa ulizikosa round ya kwanza kikosi chetu tia maji tia maji sijui kama round ya pili mtatupata.
Kaligi kakiisha Yanga Points 60 Goals 30, Simba Points 60 Goals 106.. Hivi hapo nani bingwa?Watuwache na vigoli vyetu kikubwa point tatu.
Kaligi kakiisha Yanga Points 60 Goals 30, Simba Points 60 Goals 106.. Hivi hapo nani bingwa?
Yanga ipo kimipango zaidi kuliko hao mambumbumbu na magoli yao ya kununua
Manara anawadanganya...nenda bank ya Posta.. kuna members 8 m na ushee sasa nyie takwimu ziko wapi
Swahiba pole ya nini tena.
Mimi ni mshabiki nambari one wa Supa brandi ya nchi, mimi kuachia ubingwa sahau kabisa.
Hiyo team huwa wananunua magoli haswa kwa timu hizo ndogoSijui kama wananunua ila kiukweli yuko mchezaji mmoja wa Simba huwa hakabwi uwanjani na mabeki wa baadhi ya timu na ndiye ambaye wakati mwingine hufunga mabao mengi....tehtehtehtehteh mpira wa TZ bwana...
Hahaha.. Kuweka kumbukumbu sawa, mmebakiza mchezo mmoja tu.
Kuweseka kwetu ni kugawa dozi nzito nzito tu, 03/11.
NB: Ile honeymoon yenu ya kushinda ndani siku 11 imekaribia kuisha.. Tunawasubiri mtoke nje.
Ha ha ha chuma kikoli moto by Msondo Ngoma ya WaTz !!!Tayari Swahiba. Lazima waelewe tu mwaka huu.
Maana kama ni Chuma ndio kishapata moto. 😀😀😀