Elections 2010 Mpinzani wa Sugu Kalazwa Pressure juu chini(Mix pressure)

Tunduma matokeo ya awali chadema 28,000 ccm 200 ni uraisi na ubunge

Nina mashaka na Pentest maana ni member toka 2009 lakini ana post 14 tu na wakati huu wa uchaguzi kaanza kutuma post tena. Nadhani amebaini CHADEMA na wapenda mabadiliko ni wengi hapa JF hivyo anaandika kitu anachoamini watakipenda, na wana penda kukisikia. lakini kwa ninavyofahamu uchakachuaji wa jamaa wa jembe na nyundo kuachwa kwa umbali huo ni ngumu sana. NI MTAZAMO WANGU
 
I cant believe ukombozi wa taifa kutoka kwa mafisadi unaanza kuwa successfully.God bless CHADEMA.
 
Hiyo habari sio kweli, niliwasiliana na Mpesya jana jioni baada ya vijana zaidi ya 80 wa CHADEMA walipoandamana kwa baiskeli hadi nyumbani kwa Mpesya, na hata leo hii nimewasiliana naye. Ni mzima wa afya na anafuatilia zoezi la upigai kura
 
Jamani jamaa angu ambae yuko huko Kwa mzee SUGU, Mpinzani wake kalazwa PRESURE imeteremka bila speeed Govarnor, mwenye habari kamili jamani amwage hapa.....
Mimi naomba Mungu tu kaka JK aijepatwa na huo mkasa pia kwa sababu hiyo hali yake ya kuangukaanguka jukwaani yanipa mashaka sana, natamani aone wenzake wenye akili na uwezo wa kuongoza wanavyoleta maendeleo kwa kutumia kidogo walichonacho hehehehe.
 
hahahahaa! bila speed governor! like that


Mkuu si unajua tena mambo ya Kitonga kama mvua ya Chadema, ukifail break tu kiama, huyu nae mambo yamekuwa juu...Mvua ya Sugu acha...moto sio wa gas tena ni wa ile ya Songosongo kaka...
 
Huyo jamaa alikuwa hakupata ushauri nasaha wa kupokea matokeo mema au mabaya? Pole yake! Mwendo mdundo chadema.

Ni mvua ya Elnino kaka ya MZEE SUGU, wanamwita sugu sugu sugu suguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Wewe si ndiye umetuletea habari, kwani vyanzo vyako vinasemaje?


Kiswahili unakijua au unakisikia mkuu...nimesema rafiki yangu yuko huko rakini nae pia hakunipa full data kama kuna MwanaJF mwenye ujuvi zaidi amwage hapa....uwe mwangalifu kama CCM usije ukaangukia Pua badala ya makalio mzee...
 
kupata tetesi tu za matokeo anapata pressure?? may he rest in peace.

Itakufa CCM mzee sio yeye, yeye atashuhudia mvua ya peoples power mkuuu...atamuonyesha nini SUGU alimaanisha aliposema WANANIITA SUGU SUGU SUGU, sio kwa kuimba tu bali kwa mageuzi pia ni sugu...
 
Oooooh come on guys,leteni taarifa zinazojitosheleza,husemi source yako.tuache utani

Ulipata ngapi kiswahili kutooelewa neno rafiki yangu alieko huko Kwa sugu? au unataka mpaka nikushike makalio ndo uamini....Kapige msuri wa kuelewa KISWAHILI sio kukisoma tuu...source inaamaana gani kama sio hilo neno la rafiki yangu alieko huko?Haya source yako ya kuelewa iko wapi nikupachikie hili uelewe zaidi?
 
Hiyo habari sio kweli, niliwasiliana na Mpesya jana jioni baada ya vijana zaidi ya 80 wa CHADEMA walipoandamana kwa baiskeli hadi nyumbani kwa Mpesya, na hata leo hii nimewasiliana naye. Ni mzima wa afya na anafuatilia zoezi la upigai kura[/QUOTa kufa kwa dkE]wewe umesoma kweli mkuu, umewasiliana nae jana, leo na sio muda huu wakati wa kutoa matokeo, mtu anaweza kufa in one second mkuu, mzee wetu Dr Omar juma alifariki ghafla watu hatukuamini, sasas wewe unapinga ukweli? Prove kama uko huko maana rafiki yangu anasimamia kura huko Mbeya na anasema mvua ya Dr Slaa ni more than Elnino....


hivi wewe umesoma lakini, mtu anawez
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom