Mpinzani wa Prof Mwakyusa - RUNGWE aachiwa!..

Natamani hata lile gonjwa limlipue huyu mnafiki mwandosya!
Pole sana kamanda Yusuph usi hofu
2015 sio mbali huyu mgonjwa nina uhakika hata kuwa na afya ya kukimbizana na wewe!...
Tofautisha mwandosya na mwakyusa
 
Mh. Prof. Mwakyusa, Muhimbili kuna uhaba mkubwa wa madaktari, huko kwenye siasa unafanya nini? Huoni kama unaidhalilisha taaluma yako?
 
Ukombozi wa tz kutoka kwenye makucha ya ccm na mafisadi wake umekaribia
 
It is a pity siasa za wilaya ya Rungwe sasa zimekuwa za maji taka; possibly by design!!
 
Aliyekuwa Mgombea Ubunge wa jimbo la RUNGWE MAGHARIBI na mpinzani mkuu wa Prof Mwakyusa kwa tiketi ya CHADEMA, NDG YUSUFU ASUKILE, hatimaye yuko nje!..

Mgombea huyu aliwekewa pingamizi na Mwakyusa kwa madai kuwa ni mwanajeshi, na kumfanya afanye kazi ya kuwanadi madiwani wake, muda wote wa kampeni 2010.

Yusufu mwenyewe anasema aliacha jeshi kabla ya kujiunga na chuo, miaka mitatu kabla ya mwaka 2010 kwa kufuata taratibu zote.

Wiki chache baada ya kuuawa DIWANI wa kata ya Kiwira na mwenyekiti wa CCM RUNGWE, ndg MWANKENJA, YUSUFU aliwekwa ndani akiunganishwa na watuhumiwa wa mauaji hayo.

Mwaka 2011 hadi agosti 2012 amekuwa akisota ndani mpaka juzi alipotoka.Taarifa za ndani - ccm zinasema lengo lilikuwa kumzuia YUSUFU asifanikiwe kumbana Mwakyusa mahakamani kutokana na kupita bila kupingwa katika uchaguzi mkuu uliopita.

HUU UBABE WA CCM KUBAMBIKIZIA KESI na KUWAWEKEA MAPINGAMIZI YA KIBABE KATIKA UCHAGUZI UTAISHA LINI?. NI LINI JAMAA hawa wataacha kuonea wanyonge?.

Malipo ni humu duniani, muda si mrefu tutapata uhuru.
 
Mwakyusa wala usimhusishe na hayo mavi ya CCM. Inawezekana kabisa yalifanywa kwa niaba yake bila hata ridhaa yake. Makyusa would not even kill a fly. Nakuapia huu mchezo ulichezwa na CCM mkoa wakishirikiana na polisi inayojikomba kwenye hiko chama tawala. Naamini hili lilikuwa chezo la CCM na polisi MINUs Mwakyusa.

Polisi walishaambiwa kifo cha Mwankenja kilikuwa na uhusiano na mambo ya ushirikina. Na taarifa hii waliipewa mwanzoni kabisa mwa upelelezi, na wahusika wote wakawa wamenaswa kwa mbinu nzuri ya matumizi ya ngono. Hapakuwa na sababu yoyote kumweka kamanda huyu wa Chadema ndani kwa muda wote huo. Kitu kinachoitwa Malice kipo wazi kabisa, na mimi nadhani upo uwezekano wa kufungua kesi ya character assasination hapa. Hatuwezi kuendelea kuruhusu matumizi mabaya ya dola kwa kiasi hiki. There must be a way to teach these people katika police force a lesson--once for all!

hadi maprofesa nao wanacheza rafu?
 
Natamani hata lile gonjwa limlipue huyu mnafiki mwandosya!
Pole sana kamanda Yusuph usi hofu
2015 sio mbali huyu mgonjwa nina uhakika hata kuwa na afya ya kukimbizana na wewe!...

[h=2]Prof Mwakyusa[/h]
 
Natamani hata lile gonjwa limlipue huyu mnafiki mwandosya!
Pole sana kamanda Yusuph usi hofu
2015 sio mbali huyu mgonjwa nina uhakika hata kuwa na afya ya kukimbizana na wewe!...

mbona mtoa taarifa kasema Mwakyusa?Mwandosya katoka wapi?hebu rudia kichwa cha habari.
 
Mtoa mada ni MWONGO NA MNAFIKI.Na Mungu si Asamani, kikombe cha mautimlichomnyesha marehemu John Mwankenja hakika hamtakikwepa.Tumesikia vifijo vyenu katka kusherekea "kushinda" tuhuma za mauaji ya John.Mtadanganya mahakama lakini si wananchi.
LETA USHAHIDI KUTHIBITISHA!... usilete maneno mepesi ya UONGO na UNAFIKI!. ... Sisi wenyewe tunaumia saana kumbambikizia kesi mtu asiye na hatia!... Unatetea ujinga ili mtu akae bungeni bila kuchomolewa huu ni ushetani!...
 
LETA USHAHIDI KUTHIBITISHA!... usilete maneno mepesi ya UONGO na UNAFIKI!. ... Sisi wenyewe tunaumia saana kumbambikizia kesi mtu asiye na hatia!... Unatetea ujinga ili mtu akae bungeni bila kuchomolewa huu ni ushetani!...
Msishagilie sana maana kama nilivosema Mungu si Asumani.
Mkuu usipanic maana retribution Yake ni swift.
Mtenda hutendwa na wananchi , hasa walioshuhudia unyama ule,ndio Watakuwa mashahidi.
 
Back
Top Bottom