mkubhi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 2,211
- 3,317
Sifa ya kwanza ya kuwa Mpinzani ni lazima uwe na akili kuliko mfuasi wa chama tawala, ufanye utafiti kuliko chama tawala, uwe na uwezo wa kuanalyze mambo kuliko chama tawala. Uwe visionary and focused kuliko chama tawala. Uweze kuona pale ambapo chama tawala wameshindwa kuona. Wakati chama tawala wakiwa busy kusifu serikali, wewe uone zaidi ya hapo.
Uone changamoto zinazolikabili taifa na utoe suluhisho. Ukosoe kwa maslahi ya taifa. Hivyo ndivyo upinzani unavyopaswa kuwa duniani kote. Kwa hiyo ukiona mfuasi wa chama cha upinzani ameamua kujiunga na chama tawala usimshangae.
Ni ishara kwamba uwezo wake wa kufikiri umeanza kupungua. Yani amekiri kwamba upinzani si level yake kiakili, hivyo ameamua kufuata "level" yake. Mpinzani mwenye upeo hawezi kuhamia chama tawala, bali atasaidia chama chake kiweze kutawala.!