"Mpinga maendeleo" ni shida mitaani kwa wapinzani

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Wakati wakurugenzi wa halamashauri wakiteuliwa, wakuu wa wilaya na wa mikoa. wote waliambia huko waendapo kuna wapinga maendeleo wa kushughulikia,na wawashughulikie haswa. Wakapewa mfano, wenye viti wa mitaa. Wenye akili tulianza pata mashaka, na mashaka hayo yanaanza onekana kwa hawa askari mwanvuli wa dola.Hao jamaa wanaoambiwa wapinga maendeleo,wengi tuu si wanachama wa ccm na tayri ni wachapa kazi sana.

Nimeandika thread hii kuweka tahadhari hili jina jipya lisitume vibaya: YAANI MPINGA MAENDELEO lisitumike ktk haya:

-Kufana vikao vya siri na viongozi wa makundi mbalimbali km bodaboda na kuwapa no za wakuu wa wilaya ili wapige simu polisi wake haraka akionekana mpinga maendeleo anahoji au kujadili mwenendo wa serikali. Polisi wasitumike kwa hila.Bodaboda nao watakomoana.

-Wateule wa serikali wasitumie nguvu yao ya kiserikali kushikilia wapinzani magerezani,huku wakitembeza wabunge wao wa viti maalumu ili kusema ndio wanafanya kazi na si wapinzani.WAPINGA MAENDELEO. CCM NANDHANI HAWAJASAHAU ISSUE YA LEMA NA BARABARA ZA ARUSHA.Walijenga akiwa ndani ila sifa akapata yeye bado.Sidhani km viti maalumu wenu ataweza hii game leo.

-MPINGA MAENDELEO isitumike kuwalazimisha boda boda kuhudhuria ziara za waziri mkuu. Na vitisho kwamba wasipokwenda Ile sifa yao mbaya kwamba hawana tabia nzuri itazidi kuwa mbaya .Ni vyema wakajitokeza kwa wingi ili waziri mkuu awafikirie. ISIJE LETA FEDHEHA,MTAKAPOKUJA MABANGO YA KUWAKUMBUSHA KUACHA HUJUMA KWA WAWAKILISHI WAO.

-MPINGA MAENDELEO isitumike kuwahadaa na kuwatisha waendesha boda boda kwamba watawafunguliwa bima ya afya.

-MPINGA MAENDELEO ISITUMIKE KWADHIBITI wenyeviti wa mitaa wa upinzani. Kwani hayo ndio yatakuwa matendo ya kupinga maendeleo hata km watafanikiwa yabadili mwema kuwa mbaya na mbaya kuwa mwema.

Kuna mengi yanaanza onekana yenye taswira hii. GIVE A DOG A BAD NAME AND KILL IT. ISITUMIKE KUFANYA HILA KWA WAPINZANI.HASWA WABUNGE NA WATENDAJI WA CHINI. TAYARI VIASHIRIA VIPO KTK MAJIMBO YA UPINZANI .
 
Bado watajidanganya sana kwa miaka yao minne iliyobaki.
Wapeleke misaada waliyokula huko Kagera
 
Nasikia kule arusha waziri mkuu anaandaliwa boda boda kibao ili watokeze, na mama wa viti maalumu nae anaijipisha pitisha chini kwa chini ili kumpindua Lema. DU MUNGU ABARIKI BODA BODA WA ARUSHA WASIJE CHAFUA HEWA ,VIJIWENI WAKAANZA KIMBIZWA TENA.
 
Ukimwangalia makonda, ukimwangalia mkuu wa mkoa wa Arusha na wakuu wao wa wilaya.Utaona MPINGA MAENDELEO ANAYESHUGHULIKIWA ANA SURA ISIYO WAZI.
 
Ole wako mkuu wa wilaya na mkoa wako asipigiwe simu akaambiwa wewe ni pinga maendeleo. Wenye kuijua hiyo lugha wanajua ni mmojawapo wa UKAWA.
 
Nasikia kule arusha waziri mkuu anaandaliwa boda boda kibao ili watokeze, na mama wa viti maalumu nae anaijipisha pitisha chini kwa chini ili kumpindua Lema. DU MUNGU ABARIKI BODA BODA WA ARUSHA WASIJE CHAFUA HEWA ,VIJIWENI WAKAANZA KIMBIZWA TENA.

Ninavyoijua Arusha atajipitisha sana ,aangalie tu hao boda boda wasije wakawaangusha na hizo boda boda.Kuna yule aliyewanunulia watu unga na sukari akapigwa chini kama kawa.
 
Baada ya hii thread nimeambiwa jana mkuu wa wilaya arusha alikuwa na kikao na baadhi ktk office yake. Keshatoa number mjini kwa baadhi ya bodaboda ili wakiona mtu anahoji utendaji wa hii serikali aadhibiwe km mpinga maendeleo.
 
Wataadhibiwa wengi sana,nimempenda Reheme Mwinuka,amejionyesha ni kwa kiasi gani serikali inatujengea uwezo wa kuwa na confidence.

Hope wanachama na wapenzi wa CDM hamtakwenda kwenye mkutano wa PM,sababu bado kuna msiba wa haki za binadamu
 
Nilivyoambiwa ile mbinu ya kijima ya zamani ya CCM kutoa number mitaani ,watu wanapita ktk mikusanyiko ya watu na kupiga simu kwa wakuu wa wilaya ili waleta polisi Imerudi.Wanachofanya ni kutafuta wachache na kuwapa number na ahadi za kipuuzi.Na kuwatuma eti washiriki ili wakamwombe PM msaada zimeshaanza. Thena magazeti ya CCM yajaze habari za kizushi PM apokelewa sijui nini. Waliopo Arusha watupe msaada. Itakuweje PM akija Jmosi Lema mahakamani ijumaa.
 
Ndiyo mnatakiwa muwe makini sana kwenye hilo.
 
Wakati wakurugenzi wa halamashauri wakiteuliwa, wakuu wa wilaya na wa mikoa. wote waliambia huko waendapo kuna wapinga maendeleo wa kushughulikia,na wawashughulikie haswa. Wakapewa mfano, wenye viti wa mitaa. Wenye akili tulianza pata mashaka, na mashaka hayo yanaanza onekana kwa hawa askari mwanvuli wa dola.Hao jamaa wanaoambiwa wapinga maendeleo,wengi tuu si wanachama wa ccm na tayri ni wachapa kazi sana.

Nimeandika thread hii kuweka tahadhari hili jina jipya lisitume vibaya: YAANI MPINGA MAENDELEO lisitumike ktk haya:

-Kufana vikao vya siri na viongozi wa makundi mbalimbali km bodaboda na kuwapa no za wakuu wa wilaya ili wapige simu polisi wake haraka akionekana mpinga maendeleo anahoji au kujadili mwenendo wa serikali. Polisi wasitumike kwa hila.Bodaboda nao watakomoana.

-Wateule wa serikali wasitumie nguvu yao ya kiserikali kushikilia wapinzani magerezani,huku wakitembeza wabunge wao wa viti maalumu ili kusema ndio wanafanya kazi na si wapinzani.WAPINGA MAENDELEO. CCM NANDHANI HAWAJASAHAU ISSUE YA LEMA NA BARABARA ZA ARUSHA.Walijenga akiwa ndani ila sifa akapata yeye bado.Sidhani km viti maalumu wenu ataweza hii game leo.

-MPINGA MAENDELEO isitumike kuwalazimisha boda boda kuhudhuria ziara za waziri mkuu. Na vitisho kwamba wasipokwenda Ile sifa yao mbaya kwamba hawana tabia nzuri itazidi kuwa mbaya .Ni vyema wakajitokeza kwa wingi ili waziri mkuu awafikirie. ISIJE LETA FEDHEHA,MTAKAPOKUJA MABANGO YA KUWAKUMBUSHA KUACHA HUJUMA KWA WAWAKILISHI WAO.

-MPINGA MAENDELEO isitumike kuwahadaa na kuwatisha waendesha boda boda kwamba watawafunguliwa bima ya afya.

-MPINGA MAENDELEO ISITUMIKE KWADHIBITI wenyeviti wa mitaa wa upinzani. Kwani hayo ndio yatakuwa matendo ya kupinga maendeleo hata km watafanikiwa yabadili mwema kuwa mbaya na mbaya kuwa mwema.

Kuna mengi yanaanza onekana yenye taswira hii. GIVE A DOG A BAD NAME AND KILL IT. ISITUMIKE KUFANYA HILA KWA WAPINZANI.HASWA WABUNGE NA WATENDAJI WA CHINI. TAYARI VIASHIRIA VIPO KTK MAJIMBO YA UPINZANI .
Kwa Arusha hata ccm wakikusanya waganga wote wa kienyeji wa Tanzania hawatopata hata kata moja .
 
Back
Top Bottom