Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Wakati wakurugenzi wa halamashauri wakiteuliwa, wakuu wa wilaya na wa mikoa. wote waliambia huko waendapo kuna wapinga maendeleo wa kushughulikia,na wawashughulikie haswa. Wakapewa mfano, wenye viti wa mitaa. Wenye akili tulianza pata mashaka, na mashaka hayo yanaanza onekana kwa hawa askari mwanvuli wa dola.Hao jamaa wanaoambiwa wapinga maendeleo,wengi tuu si wanachama wa ccm na tayri ni wachapa kazi sana.
Nimeandika thread hii kuweka tahadhari hili jina jipya lisitume vibaya: YAANI MPINGA MAENDELEO lisitumike ktk haya:
-Kufana vikao vya siri na viongozi wa makundi mbalimbali km bodaboda na kuwapa no za wakuu wa wilaya ili wapige simu polisi wake haraka akionekana mpinga maendeleo anahoji au kujadili mwenendo wa serikali. Polisi wasitumike kwa hila.Bodaboda nao watakomoana.
-Wateule wa serikali wasitumie nguvu yao ya kiserikali kushikilia wapinzani magerezani,huku wakitembeza wabunge wao wa viti maalumu ili kusema ndio wanafanya kazi na si wapinzani.WAPINGA MAENDELEO. CCM NANDHANI HAWAJASAHAU ISSUE YA LEMA NA BARABARA ZA ARUSHA.Walijenga akiwa ndani ila sifa akapata yeye bado.Sidhani km viti maalumu wenu ataweza hii game leo.
-MPINGA MAENDELEO isitumike kuwalazimisha boda boda kuhudhuria ziara za waziri mkuu. Na vitisho kwamba wasipokwenda Ile sifa yao mbaya kwamba hawana tabia nzuri itazidi kuwa mbaya .Ni vyema wakajitokeza kwa wingi ili waziri mkuu awafikirie. ISIJE LETA FEDHEHA,MTAKAPOKUJA MABANGO YA KUWAKUMBUSHA KUACHA HUJUMA KWA WAWAKILISHI WAO.
-MPINGA MAENDELEO isitumike kuwahadaa na kuwatisha waendesha boda boda kwamba watawafunguliwa bima ya afya.
-MPINGA MAENDELEO ISITUMIKE KWADHIBITI wenyeviti wa mitaa wa upinzani. Kwani hayo ndio yatakuwa matendo ya kupinga maendeleo hata km watafanikiwa yabadili mwema kuwa mbaya na mbaya kuwa mwema.
Kuna mengi yanaanza onekana yenye taswira hii. GIVE A DOG A BAD NAME AND KILL IT. ISITUMIKE KUFANYA HILA KWA WAPINZANI.HASWA WABUNGE NA WATENDAJI WA CHINI. TAYARI VIASHIRIA VIPO KTK MAJIMBO YA UPINZANI .