Mpinga maendeleo hana tofauti na mpinga Kristo

Mtazame huyu!!!
Vitu hujenga watu na maendeleo Yao, na ndio maana unaona miradi ya afya, barabara, usafiri wa anga, usafiri wa majini na miradi mingine ikiwemo umeme inatekelezwa kwa kasi ili kurahisisha maendeleo ya watu.
Chato kuna nini kule? Wewe binafsi ungekuwa na uwezo unaweza kuwekeza chato tuseme hata TZS 500m - utakuwa mjinga wa karne.

Labda ununue mitumbwi ya kisasa ya kuvulia samaki ziwa Victoria kwa upande wa huko...afu samaki hao uje uwauzie Mwanza na Dar. Chato is nothing my friend..
 
Unamjengea nani uwanja wa ndege kijijini? au ndio hao watalii tulioambiwa jana watakuwa wanakuja kuangalia amani ya Tanzania inayopatikana Chato?!

Nyie jinga sana.
Yule mzee wa viieite alidai chato international airport ni kwa ajili ya ndege zilizopatwa dharura kutua, sasa tukasema kama ndege imeruka Mwanza kwa nini itue chato badala ya kugeuza kurudi Mwanza, au tuseme imepata dharura dodoma kwa nini isitue dodoma au igeuze iende kutua dar. Hivi ana uelewa ndege ambayo ipo katikati ya bahari kuu kama Indian ocean au atlantic inaweza kupata emergency landing ambayo ni umbali kati ya Mwanza na chato au tuseme Dar es salaam na Chato? aisee kuna watu wana chekesha sana...
 
Christians mostly are a stupid group of people

They are all inherently dictators and a bunch of butter cups

Anakutajia Kristo yeye akidhani by default wanadamu wote duniani wanajua and ku-subscribe kwa huyo mtu wake anaemjua anaeitwa "Kristo"

Ni audacity ya ajabu sana

Sio hata audacity ni ignorance and stupidity hii

Wakristo hawaamini kua more zaidi ya nusu ya hii dunia hawajui neno Kristo achilia mbali maana yake

Hii ni kuchukua beliefs zake na push down everybodys' throat kwa lazima,making it a deadly theocracy

Unaongelea siasa,weka siasa mezani,mambo yako na Kristo au imani yako ni binafsi yako,we dont need to know it

Yaani huwezi ongelea siasa bila kum-smuggle Jesus Christ into the discussion as if yeye ndio siasa yenyewe?

Tujifunze kuweka vitu vyetu private for ourselves na ku-deal na topic husika bila kuchanganya hizo private imani zetu into that maana ulimwengu mzima tunahusika hapo sio wakristo wenyewe
Umeshikwa na mihemko ya Imani.... Najua unataka kuacha suala la msingi kuwa maendeleo hayawezi kusimama kwa kelele zenu na kujadili Dini... Siko huko.

Bado ukweli unaujua kuwa jambo pekee linalowaumiza wapinga maendeleo ni kwamba Nchi inasonga mbele na haitosubiri wewe useme "YES"
 
Kumekuwa na kelele nyingi zinazohusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa Nchini, awali vigezo vya kupingwa maendeleo ilikuwa "SERIKALI INAFANYA MIRADI ISIYOSAIDIA WATU WOTE".

Ununuzi wa ndege ulipingwa, ujenzi wa reli ulipingwa, mradi wa bwawa la kufua umeme ulipingwa hata elimu bila malipo ilipingwa.

Baada ya Mhe. Rais Magufuli na Serikali kukaza msuli na kuonesha matokeo chanya, wale wote waliopinga miradi hii kutekelezwa wamehamishia hasira zao Chato.

Kwanza nawapa pole sana kwakuwa maendeleo hayataweza kusimama kwakuwa mpinga maendeleo anapiga yowe.

Kwa wanaosoma maandiko matakatifu watakubaliana nami kuwa Yesu alipingwa alipoponya, alipofufua, alipofundisha pia. Mwisho walihamishia hasira zao kwenye uhai wake, lakini neno halikukoma.

Hivyo nchi itaendelea kusonga mbele na hata Msipoisema Chato basi mtaisema Tandahimba.
Labda Kristo WA CCM chama cha mazezeta anayeitwa mheshimiwa chato
 
Kwahiyo waislam wote ni wapinga maendeleo?
 
Back
Top Bottom