Mpina kuomba muongozo chini ya kifungu cha 70 badala ya kifungu cha 76 ni kukurupuka au?

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
5,589
5,198
Nimeshangaa sana kuona mbunge mzoefu na wa siku nyingi kama Mhe. Mpina kusimamia na kuomba muongozo wa Spika chini ya kifungu cha 70 badala ya kifungu cha 76 kama alivyorekebishwa na Spika leo hii kabla ya Bunge kufungwa na Mhe. Waziri Mkuu.

Spika katoa ufafanuzi juu ya mazingira ya kutumia kanuni ya 70 ni pale anapo zungumza mchangiaji kwa wakati huo lkn Mbunge Mpina alitaka kutumia kanuni hiyo kwa mazingira ambayo yalisha pita, yaani matukio/mjadala ulifanyika mwezi wa 5 halafu anaomba muingozo wa spika leo hii.
Spika kasisitiza kuwa sio sahihi.

Je, hii ni dalili kuwa mbunge huyu kapoteza kabisa utulivu, sijui kwanini?

utulivu na umakini ni jambo muhimu sana kwa wabunge wake.
 
dindilichuma

JF-Expert Member
Dec 19, 2015
1,520
2,158
Nimeshangaa sana kuona mbunge mzoefu na wa siku nyingi kama Mhe. Mpina kusimamia na kuomba muongozo wa Spika chini ya kifungu cha 70 badala ya kifungu cha 76 kama alivyorekebishwa na Spika leo hii kabla ya Bunge kufungwa na Mhe. Waziri Mkuu.

Je, hii ni dalili kuwa mbunge huyu kapoteza kabisa utulivu, sijui kwanini?
Sidhani kama hii ni ishu ya maana. Nikajua kafanya jambo la maana kumbe kukosea kifungu.
Inaonekana Mpina amekua mwiba kwa baadhi ya watu mpaka akikosea kifungu tu basi ni habari.
 
Myangu

JF-Expert Member
Dec 15, 2012
5,464
6,175
Kukosea kifungu siyo swala geni na wala siyo ajabu, Mpina naona anawakamata sehemu mbaya sana.
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
17,325
30,406
Nimeshangaa sana kuona mbunge mzoefu na wa siku nyingi kama Mhe. Mpina kusimamia na kuomba muongozo wa Spika chini ya kifungu cha 70 badala ya kifungu cha 76 kama alivyorekebishwa na Spika leo hii kabla ya Bunge kufungwa na Mhe. Waziri Mkuu.

Spika katoa ufafanuzi juu ya mazingira ya kutumia kanuni ya 70 ni pale anapo zungumza mchangiaji kwa wakati huo lkn Mbunge Mpina alitaka kutumia kanuni hiyo kwa mazingira ambayo yalisha pita, yaani matukio/mjadala ulifanyika mwezi wa 5 halafu anaomba muingozo wa spika leo hii.
Spika kasisitiza kuwa sio sahihi.

Je, hii ni dalili kuwa mbunge huyu kapoteza kabisa utulivu, sijui kwanini?

utulivu na umakini ni jambo muhimu sana kwa wabunge wake.
Wanasheria wanapeleka defective charge mahakamani na imepitiwa na watu zaidi ya watatu itakuwa kukosea kifungu cha kanuni wapiga soga wa Dodoma?
 
zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
5,589
5,198
Wanasheria wanapeleka defective charge mahakamani na imepitiwa na watu zaidi ya watatu itakuwa kukosea kifungu cha kanuni wapiga soga wa Dodoma?
hiyo ni dalili ya kukosa umakini, mtu makini huwa hakurupuki......mtu makini huwa anajipanga kabla, kwa hili Mbunge ameonyesha kukurupuka.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom