Mpina ataka kumuumbua Waziri Mwigulu bungeni, apatwa na kigugumizi, Spika ambana "mi sielewi"

Lakini ni kawaida Duniani hapa, watu aina ya LUHAGA MPINA kudidimizwa sana !.

Watanzania na Binadam waliowengi Wana kasumba ya kuwadown watu wanaonekana Bora.

Ndio sababu Heshima akupayo Mtanzania haitokani na Kile kilichobora ulichonacho, Bali wewe ni nani!!.

MUNGU WA ISRAEL AENDELEE KUMLINDA MH.LUAGA MPINA, AMPE AFYA NJEMA, ILI AENDELEE KUSOMA ,KUDADAVUA NA KUJA NA MAMBO YALIYO CHANYA.

Viva Magufuli Kwa Huyu Mbunge !!
 
”Muheshimiwa......muheshimiwa muheshimiwa......muheshimiwa, muheshimiwa spika...naomba majibu kutoka kwa muheshimiwa waziri blah blah blahs”

Hii kitu inanikera mimi,hao wanaitana waheshimiwa waheshimiwa wakati vichwani hawana ABC wala Z ya kusogeza hili taifa japo mpaka mwaka keshokutwa Ila kwa kutajana tajana hovyo kama hivi hawa ndiyo wanaolipwa hela nyingi na posho kubwa kuliko mtu yeyote yule,sijazungumzia bado kubuni kodi za kipumbavu.
 
Rais angekuwa anajua watanzania wanataka nini, hivi leo mwigulu asingeendelea kukalia kiti cha waziri wa fedha. Na rais kuendelea kushupaza shingo kwa ajili ya mwigulu anajipunguzia ushawishi kwa watanzania, sema hili la kupungua ushawishi chawa hawata mwambia, maana kazi yao kubwa ni mapambio. Maana hata malkia akiwa utupu wao haiwahusu. Ila kwa nia njema tu, na kwa maslahi mapana ya nchi yetu, haijarishi una chama au hauna chama. Ila mwingilu angemtafutia kazi nyingine ya kufanya. Ili kurudisha imani kwa watanzania, inayozidi kuporomoka siku hadi siku.
 
Mataga ni mataga tu.
Huyo Mpina anaongea kwa kuwa sio waziri kwa sasa angekuwa waziri asinyanyua mdomo katu angebaki kugonga meza kwa kila neno analosikia.
 
Mkuu hiyo ndio kawaida, ukiwa waziri uwezi kuongea dhidi ya serikai kwa sababu wewe ni sehemu ya serikali, kitu kinaitwa collective responsibility. Sasas sijui unataka kitu gani hapo, mawaziri wawe wanaongea kuibana serikali? Hamana kitu cha namna hiyo.
 
Kosa la mwigulu ni nn?
 
Kwa hiyo mawaziri hawaruhusiwi kuuliza jambo lolote?
 
Mataga ni mataga tu.
Huyo Mpina anaongea kwa kuwa sio waziri kwa sasa angekuwa waziri asinyanyua mdomo katu angebaki kugonga meza kwa kila neno analosikia.
Hiyo ndio kazi ya mbunge, kuisimamia na kuiwajibisha serikali.

Serikali ndio hao mawaziri sasa, waziri hawezi kuikosoa serikali wala kuiwajibisha.

Ni sawa na chadema nyie mjumbe wa kamati kuu mfano Heche hawezi kuikosoa chadema, Ila mwanachama kama wewe unaweza kuikosoa chadema
 
Kwa hiyo mawaziri hawaruhusiwi kuuliza jambo lolote?
Hawaruhusiwi, wao ni watoa majibu, na kwa sababu watamuulizaje jambo waziri mwenzao Bungeni? Ndio maana watu wanapendekeza mawaziri wasitokane na wabunge. Ukiwa na mbunge akawa waziri basi hawezi tena kuwasemea Bungeni. Kama kuna swali atauliza kwenye vikao vya baraza la mawaziri
 
Hiyo ndio kazi ya mbunge, kuisimamia na kuiwajibisha serikali.

Serikali ndio hao mawaziri sasa, waziri hawezi kuikosoa serikali wala kuiwajibisha.

Ni sawa na chadema nyie mjumbe wa kamati kuu mfano Heche hawezi kuikosoa chadema, Ila mwanachama kama wewe unaweza kuikosoa chadema
Mm sio CHADEMA ni mtanzania huru.
Siasa za watanzania ni pasua kichwa.
 
Back
Top Bottom