Mtumishiwetu
Senior Member
- Jul 13, 2022
- 187
- 334
Yote KWa yote, huyu spika sijui ccm ilikosa watu , yani anzia kuongea, mwonekano Iyo nafasi haimfahi,
Mkuu hiyo ndio kawaida, ukiwa waziri uwezi kuongea dhidi ya serikai kwa sababu wewe ni sehemu ya serikali, kitu kinaitwa collective responsibility. Sasas sijui unataka kitu gani hapo, mawaziri wawe wanaongea kuibana serikali? Hamana kitu cha namna hiyo.Mataga ni mataga tu.
Huyo Mpina anaongea kwa kuwa sio waziri kwa sasa angekuwa waziri asinyanyua mdomo katu angebaki kugonga meza kwa kila neno analosikia.
Nadhani Mheshimiwa Waziri kuna kitu ameishakinusa. Si kwa upole huu aliouonyesha kiasi anashindwa kutafsiri kiingereza anabaki na ya ya ya ya yaaa...!Haya Mambo haya!
Kosa la mwigulu ni nn?Rais angekuwa anajua watanzania wanataka nini, hivi leo mwigulu asingeendelea kukalia kiti cha waziri wa fedha. Na rais kuendelea kushupaza shingo kwa ajili ya mwigulu anajipunguzia ushawishi kwa watanzania, sema hili la kupungua ushawishi chawa hawata mwambia, maana kazi yao kubwa ni mapambio. Maana hata malkia akiwa utupu wao haiwahusu. Ila kwa nia njema tu, na kwa maslahi mapana ya nchi yetu, haijarishi una chama au hauna chama. Ila mwingilu angemtafutia kazi nyingine ya kufanya. Ili kurudisha imani kwa watanzania, inayozidi kuporomoka siku hadi siku.
Kwa hiyo mawaziri hawaruhusiwi kuuliza jambo lolote?Mkuu hiyo ndio kawaida, ukiwa waziri uwezi kuongea dhidi ya serikai kwa sababu wewe ni sehemu ya serikali, kitu kinaitwa collective responsibility. Sasas sijui unataka kitu gani hapo, mawaziri wawe wanaongea kuibana serikali? Hamana kitu cha namna hiyo.
Mkuu mbona mkali hivyo, una wasiwasi na majibu ya Mheshimiwa waziri?Mataga ni mataga tu.
Huyo Mpina anaongea kwa kuwa sio waziri kwa sasa angekuwa waziri asinyanyua mdomo katu angebaki kugonga meza kwa kila neno analosikia.
Hiyo ndio kazi ya mbunge, kuisimamia na kuiwajibisha serikali.Mataga ni mataga tu.
Huyo Mpina anaongea kwa kuwa sio waziri kwa sasa angekuwa waziri asinyanyua mdomo katu angebaki kugonga meza kwa kila neno analosikia.
Mm sielewi bunge lote.Mkuu mbona mkali hivyo, una wasiwasi na majibu ya Mheshimiwa waziri?
Hawaruhusiwi, wao ni watoa majibu, na kwa sababu watamuulizaje jambo waziri mwenzao Bungeni? Ndio maana watu wanapendekeza mawaziri wasitokane na wabunge. Ukiwa na mbunge akawa waziri basi hawezi tena kuwasemea Bungeni. Kama kuna swali atauliza kwenye vikao vya baraza la mawaziriKwa hiyo mawaziri hawaruhusiwi kuuliza jambo lolote?
Waziri anauliza kwa nan? Baraza la mawaziri majibu yote yapo, ndio maana unaona bungeni mbunge yoyote anapouliza swali kuhusu serikali waziri ndio anapaswa kujibu.Kwa hiyo mawaziri hawaruhusiwi kuuliza jambo lolote?
Mm sio CHADEMA ni mtanzania huru.Hiyo ndio kazi ya mbunge, kuisimamia na kuiwajibisha serikali.
Serikali ndio hao mawaziri sasa, waziri hawezi kuikosoa serikali wala kuiwajibisha.
Ni sawa na chadema nyie mjumbe wa kamati kuu mfano Heche hawezi kuikosoa chadema, Ila mwanachama kama wewe unaweza kuikosoa chadema