mpima bikira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mpima bikira

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by johnj, Sep 18, 2008.

 1. johnj

  johnj Member

  #1
  Sep 18, 2008
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  kuna habari zilizokuwepo jana katika magazeti ila sikumbuki ni gazeti gani kwamba katika shule moja ya msingi huko jiijini Dar es Salaam kulikuwa na mwalimu wa kiume amabye alikuwa na tabia ya kuwapima bikira wanafunzi wake wa kike.
  Inasemekana aligunduliwa na mlinzi amabye alishangaa kumkuta mwalimu huyo na mwanafunzi wa kike wakiwa darasani (gizani) usiku kama saa mbili hivi na alipokwenda kuwaangalia mwanafunzi akatimua mbio.

  Inasemekana pia mwalimu huyo alikuwa akiwapima bikira kwa kuwaingizia vidole wasichana hao na kuwaambia wakisema kwa watu atawaharibia mafaili yao ya darasa la saba na hivyo kuwafanya wafunge mdomo.

  Alikuwa akiwapima bikira darasani usiku, ofisini na pia nyumbani kwake wakati mkewe alipoenda kwao kujifungua.

  Hii ni kwa mujibu wa viredio vyetu vya FM nafikiri watu wengine wanaweza kuelezea zaidi kuhusu mkasa huu.

  Tunakwenda wapi ????
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2008
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Huyo mwalim anachez a na sheria huyo muache kwanza wakampe kesi ya kudhalilisha ahangaike nayo..kwanza maana unaweza ukakuta huwa hata anawashawishi ....kubakaa......yote yatajulikana mahakamani...walimu wengine wanajifanya wanajua sana eehh...du
   
 3. johnj

  johnj Member

  #3
  Sep 26, 2008
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  inasemekana hii ilitokea katika shule ya msingi Likwati iliyopo kitu kama manispaa ya kinondoni jijini dar es salaam.
   
 4. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Rais mtarajiwa wa SA Jacob Zuma anapima bikira, bila aibu, na anatangaza hadharani.

  Be very afaraid.
   
 5. W

  WembeMkali JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2008
  Joined: Jun 16, 2007
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tulishasema hapa kuwa Tanzania is the lawless country!!
  Si vibinti vidogo, si maalbino, si watoto wa shule ,si mabinti wa ndani(housegirls) wote hao hakuna wa kuwatetea!!!
  Kwa hiyo sitashangaa huyo mwalimu kuendelea kufanya vitendo hivyo na kutochukuliwa hatua zozote za kisheria kwa kuwa hadi wabunge wenyewe na wanasiasa nao hutembea na vibinti vidogo vya shule na hakuna mtu yeyote anayechukuliwa hatua za kisheria.Its a damn lawless country!!!
   
 6. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135  Whaaaaat ?!! You're so funny!
  .
   
 7. M

  Medy19 New Member

  #7
  Jul 20, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umkubwa sio kinondoni ni Temeke na mm ndipo nilipomalzia na huyo ticha nilikuwa namfahamu
   
 8. M

  MKWELIMAN Senior Member

  #8
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 125
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  @ MEDI naomba mweke hadharani huyo mwalimu maana umesema ulikuwa unamfahamu
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Jul 20, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kumbe ni ishu iliyotokea mwaka 2008!!!!!
   
Loading...